mkopo

  1. Wazoefu: Nini nifanye ili niweze kupata mkopo benki kwa dhamana ya nyumba/kiwanja?

    Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana? Risk zake zipoje. Faida na hasara zake je, na kama kuna watu/kikundi/taasisi/mtu aliyefanikiwa kupata pesa ya mkopo benki kwa njia ya dhamana ya nyumba/kiwanja alifanyaje?
  2. Y

    Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Habari Wana JF kwa mshahara wa laki tano mkopo naweza patiwa shingapi??
  3. Ukitaka kujua kama simu ni ya mkopo haijamaliza deni unafanyeje ?

    Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
  4. Uingereza yaipa Ukraini Mkopo wa paundi bilioni 2.6.

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuipa mkopo nchi ya Ukraine wa kiasi cha Paundi bilioni 2.6 kwa ajili ya kununua silaha za kijeshi ili izidi kujiimarisha na kujilinda dhidi ya Urusi. Makubaliano ya mkopo huo yamefikiwa baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer kukutana na Volodymyr...
  5. Msaada wa mkopo Tsh. 25,000

    Habari za jioni wakuu. Nakuja kwenu muda huu nina shida sana na shilingi elfu ishirini na Tano. Naomba yeyote anayeweza kunipatia kiasi hicho kama mkopo wa wiki moja. Asanteni🙏
  6. K

    Ipi online platforms wanatoa mkopo wa riba nafuu kwa mwezi hadi miezi 3?

    Wadau,,ninataka million 1 cash chap ,,so ninaomba kujua ni platformgani naweza kukopa online hiyo pesa na nikalipa interest isiyozid aslimia 10 kwa mwezi to miezi 3? Asante
  7. Nawezaje kupata mkopo kama muajiriwa mpya ambaye sijakidhi vigezo vya kukopesheka benki?

    Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess. Nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa...
  8. Namwona azizi ki..kengold inamsubiria kwa mkopo eng uza huyu mapema

    Kwa yanayoendelea kwa kaka yetu Sitoshangaa kusikia yanga amemtoa aziziz ki kwa mkopo kengold USHAURI tu kama vipi Baba engn huyuu muuzen mapema kabisa Hikituu anachokifanya Leo mkiona HATA WAZAZI HAWATAKI kusikia basi na YANGA mjiandae na MSIBA mtaniambia Nikopale Cc Pdidyjr2025
  9. Nimestaajabu Naomba mnieleweshe, hizi ndio riba za mkopo wa mtumishi wa Umma?

    Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu, Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%? Serious BOT? Fanikiwa microfinance 42% Magere credit 42% Platinum...
  10. I

    mkopo wa namna hii ni kuumiza vijana .

    habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda . aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni mkopo wa miaka 2. viongozi kweli bajaji ya milioni 7 mtu alipe 20 milion kweli.
  11. Pre GE2025 Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya shilingi milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu. Mkopo huo unalenga kuwawezesha wanufaika kukuza shughuli zao za kiuchumi na kujitegemea, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali...
  12. C

    Mnafanyaje kuuza madeni ya mkopo wa bank moja kwenda nyingine kwa mtumishi?

    Tunaombeni hizo mbinu wakuu Hali ni Tete nilichukua mkopo wa Bayport baada ya huu mfumo wa ESS kuja saivi imekuwa ngumu kuuza deni Mnatumia mbinu gani jamani. Balance ya mkopo ni 1,800,000 na Makato Kila mwezi ni 62000 nifanyaje hapa wakuu, Nina uhitaji sana na hela kwa muda huu na njia pekee...
  13. Mchezaji Ladack Chasambi kutolewa Namungo kwa mkopo

    Tetesi zinasema katika dirisha dogo, mchezaji Ladack Chasambi anatarajiwa kutua Namungo sc. Imeelezwa Namungo wameshatuma maombi ya kumnasa kinda huyo katika kujiimarisha na kuongeza nguvu kikosi hicho.
  14. Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

    Nahitaji mkopo wa million 3 nipo na kiwanja 20×20 kipo kigamboni naomba miongozo Note: isiwe hizi microfinance
  15. Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

    MKOPO MKOPO wa ujenzi, Nyumba hii inasifa zifuatazo. Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom. Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa. Gharama yake ni kiasi cha...
  16. NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  17. Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  18. Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  19. K

    Naomba uzoefu wa mtu aliyechukua mkopo toka Tala hivi karibuni

    Wadau, Nimeona akina Kitenge wakitangaza fursa ya mikopo kwa kampuni ya mitandao ya Tala. Napenda kujua kwa yeyote aliyewahi kuchukua mkopo Tala uzoefu wake ukoje, hasa kuhusu: 1. Kiwango cha mkopo: Je, ni kiwango gani mtu anaweza kuomba? 2. Riba: Riba yao imekaaje, na inalipwa...
  20. Kuwa Mmojawapo wa Kuchukua Mkopo wa Bilioni 100 kwa ajili ya Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia ya gesi.

    Kuwa Mmojawapo wa Kuchukua Mkopo wa Bilioni 100 kwa ajili ya Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia ya gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ameongoza uzinduzi wa mpango mkubwa wa mikopo ya Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya kusaidia biashara na miradi ya kusambaza Nishati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…