Bado tunatoa huduma ya ujenzi kwa teams ya #mkopo nirahisi na nafuu sana #irbag company reg no 140-016-446 inatoa huduma za ujenzi tu kwa teams ya #mkopo tunajenga unaishi unalipa taratibu mpaka miaka mitano (5)hakuna riba yoyote kiasi cha kulipa kila mwezi ni flat rate,muda wakukabidhi nyumba...
Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology).
Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni...
Habari za sahivi wana JamiiForums,
Naomba kujua kama umesoma veta hadi level 3, sasa unataka kwenda diploma je unaweza pewa mkopo, na kwa njia zipi?
Msaada tafadhali
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Hii ni kada gani hapa nchini?
Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million
Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti
Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo
Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
Habari zenu wakuu!
Ninatumaini mko pouwa asee, ninashida moja juu ya ufahamu wangu juu ya Bima ya Mkopo ambao mtu akichukua mkopo Bank. Hii Bima ya mkopo imekaaje au sheria inasemaje kuhusu hilo ? Ni katika mazingira gani hiyo Bima inafanya kazi na mwombaji wa mkopo ananufaikaje na hii Bima...
Habari ndugu ninaomba kuuliza kama kuna uwezekana wa kufungua sehemu ya laini mama kwenye hizi simu za mkopo ili hiyo sehemu ambayo huwa ni laini namba 1 iweze kutumika kwa laini yoyote kama umeshamaliza deni!
ahsante.
Hii ni kwenu matajiri wa JF,
Heshima nyingi kwenu!
Nawaandikia baada ya kufikiri na kutafakari kwa kina juu ya hatima ya maisha yangu.
Kila nikitafakari na kuangalia kesho yangu naona kama hakuna nuru. Na kama maisha yangu yakiendelea hivi bila external force kuingilia kati naona dalili ya...
Sisi watanzania ni jadi yetu kusaidiana na kukwamuana mtu wako wa karibu anapokuwa na changamoto hasa za kifedha.
Unapomuomba mtu akukopeshe pesa hakikisha unaporejesha unazingatia kuweka gharama za makato aliyotumia wakati wa kukutumia na anapopokea hiyo pesa yaani wakati anatuma na pale...
Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana.
Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa.
Aliyeelewa jinsi huo Mkopo utatekekeza hayo mambo anisaidie.👇👇
---
Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia...
Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya...
Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo.
Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga).
Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini
Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
Wakuu
Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani.
Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine.
Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela
Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi...
Anonymous
Thread
arusha
asilimia
halmashauri
mkopo
mpaka
mwezi
pili
sababu
vikundi
wiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.