Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie!
Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini. Kwa kweli, niliona kama ni mbali, lakini akaniambia kuwa kuna kiwanja mama yake alimpa kama zawadi...
Mwezi uliopita nilipata shida ya pesa nikaona kuliko kwenda kwa kausha damu bora niende NMB nikafanye top-up sababu nilikuwa tayari namkopo, lakini baada ya kuchungulia account yangu wananiambia bado inasoma negative siwezi kupata chochote!
Tangu nichukue mkopo ni mwaka mmoja sasa, lakini...
pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka
Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
Wandugu habarini,
Nina kijana alikuwa mnufaika wa mkopo apo S.U.A
Akakutana na changamoto baada ya mzazi kufariki akasitisha Masomo
Mwaka jana aka apply akapata tena apo S.U.A
Sasa changamoto iko kwenye kuomba tena mkopo
Aliambiwa alipe 25% ya deni lake la nyuma na ameshalilipa
Changamoto...
Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa.
Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa.
Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa...
HAKUNA TAJIRI ASIYEKOPA! Umewahi kuwasikia watu wakisema hawakopi au kujisifia kwamba hawakopi kwenye biashara zao? Ukweli ni kwamba matajiri wote unaowajua wanakopa, ELON MUSK, alikopa kuinunua Twitter (sasa X), Mohammed Dewji MO alikopa benki ya First Rand Afrika kusini. Sasa Kama Elon Musk...
Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani?
Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
Habari.
Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated.
CHANZO CHA TATIZO
Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa...
YAH: TAARIFA KWA UMMA.
Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo.
Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa
UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO
Jumanne, Agosti 13, 2024
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa...
Natafuta mtu mwaminifu mwenye duka, nitakaye mkopesha product hizi na atalipa atakapouza. Maduka 25 tu. Kama unahitaji wahi sasa.
Product hizi ni
1.a )Mishumaa ya kawaida.
b)Mishumaa ya perfume ( rangi zote zipo).
2. a)Mafuta ya kawaida yenye manukato mazuri.
b)Mafuta ya nywele.
3...
Nyie watu mliosomeshwa kwa mkopo wa serikali elimu ya juu mlikuwa mnatutambia sana sie tulionyimwa mkopo. Mlikua mnajiona wajanja wenyewe 😂😂 mmepata kazi umefika mda wa kulipa deni mnaanza kulia lia ooh mshahara hautoshi mara ooh wanakata sana.
Mlitegemea nani awalipie? Wakati mnatumia mliona...
Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa
Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA
RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao.
Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa kushughilikia mfumo ili wanafunzi wa DIPLOMA wakamilishe maombi yao jamaa hawajigusi hata kidogo.
BODI YA...
Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu,
Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma.
Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu,
Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma.
Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.