mkopo

  1. vicentmark

    Kozi Zenye Kipaumbele Kupata Mkopo

    1 Programs in Cluster One Students in cluster one must be admitted in the following programs:- i. Health and Allied Sciences Clinical Dentistry, Diagnostic Radiotherapy, Occupational Therapy, Physiotherapy, Clinical optometry, Dental Laboratory Technology, Orthotics & Prosthetics, Health...
  2. A

    Je, Naweza Kupata Mkopo kwa Diploma!?

    Habari za Uzima Ndugu zangu. Mimi ni Kijana wenu wa Usikivu Hafifu Nimekuja Tena. Nataka Niende Nikasome Uwalimu wa Shule ya Msingi "Primary" Nauliza Naweza Nikapata Mkopo !? MUNGU AWABARIKI.
  3. JF Member

    Nimekosa Mkopo benki kisa nilichelewesha rejesho mwaka 2018 kwa siku 60

    Wadau njooni hapa tufarijiane. Huko serikali imeshaweka mazingira magumu Tena kwenye kukopa. Mimi 2018 nilichelewesha rejesho kwenye Moja wapo benki hapa nchini. Mambo ya yangu hayakwenda vizuri, nilicheleweshewa malipo sehemu, ila benki tulikuwa tunawasaliana vizuri tu. Badae nikalipa na mda...
  4. BUMIJA

    Aliyefanikiwa kuchukua mkopo usio na riba HAZINA PORTAL anijuze

    Wasalamu wadau. Naomba aliye Apply huu mkopo usiona riba wa WATUMISHI HAZINA PORTAL ANIJUZE kama ni mda gani toka uombe unapata huo mkopo. Povu ruksa wadau
  5. greater than

    Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

    Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar... Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa. Lucas...
  6. TZ-1

    Kuwa makini unapotaka kuchukua mkopo unyonyaji ni mkubwa sana

    MABENKI YETU TZ JAPO YAPO REGULATED LAKIN NAZAN KUNA WIZI UNAENDELEA HASA KWENYE MIKOPO Katika hali ya kawaid nmeihash familia mkoa x kwend mkoa B na huko tayari nilikuw kwenye hatua za awali san katika ujenzi nikaona kulko kulpa pango la Tshs 150,000 hadi Tshs 200, 000 nkasema ngoja nikasake...
  7. Optimists

    Kuna njia nyingine naweza pata mkopo wa hazina bila kupita halmashauri?

    Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli. Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna...
  8. Carlos The Jackal

    Mwenyekiti/Afsa Mkopo Saccos, Wamekiri Kwa MAKONDA, hawakubaliani na hawakumpa Kibali yule Tapeli Kuuza Nyumba ya Mtu Million 50 Kwa Mkopo wa 3 M.

    Kama Kuna Mkoa ambao Nuru ya uponyaji, Amani, Baraka ,Furaha, Haki, faraja, uwajibikaji, maadili imeaaangukia ni Arusha kua na Paul Makonda. Kuna Huyu Tapeli wa JF mpuuzi Mmoja, mwenye Chuki dhidi ya Makonda, anayejiita chiembe akaja na Uzi wa blaa blaaa blaa. Sasa ukweli ni huu ...
  9. Ndagullachrles

    Mwalimu ajinyonga huko Moshi kisa riba kubwa ya mkopo

    Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoani Kilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika ujumbe unaoelezea kisa cha yeye kuchukua maamuzi hayo magumu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo...
  10. HONEST HATIBU

    Huu ni uonevu na unyonyaji

    HESLB Tanzania tunaomba muwe mnawaelimisha hawa wabunge wetu vigezo mnavyotumia kuwapa wanafunzi mikopo maana mpaka mwanafunzi anapewa hela ya kujikimu ina maana hata kwao wana mazingira magumu hawataweza kumpa pesa ya kujikimu Angejua wanafunzi wanachopitia hata hyo boom haitoshi asingeongea...
  11. N

    Je, serikali ina mpango gani na watu ambao wamenufaika na ufadhilii wa kusoma nje ya nchi?

    Habari za leo watanzania wenzangu. Mimi ninaomba kuuliza kitu kuhusu ufadhilii serikali inaoutoa nje ya nchi. SerikImekuwa ikitoa ufafhili ambayo mimi naweza kusema ni wa kisiasa zaidi na hauna malengo madhubuti kwani baada ya hao waliofadhiliwa kurejea nchini baada ya kuhitimu masomo wanaanza...
  12. Tyanyi

    Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?

    Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
  13. S

    Nashauri mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo iweje wao?

    Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeona Serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yaani kujibebesha mzigo juu ya...
  14. Beberu

    Nitajuaje simu ninayotaka kununua ni ya mkopo?

    Wakuu, nitajuaje kama simu ninayotaka kununua ni ya mkopo? Yaani hizi za hawa wanaouza kwa mkopo?
  15. King Jody

    Tumia Pesa ya mkopo kwa nidhamu ya hali ya juu

    Ni ukweli ulio wazi kwamba maisha yana kupanda na kushuka, wakati mwingine inatokea mambo yanakuwa magumu kama vile biashara kuyumba nk, Kwa mfanya biashara ukichukua mkopo ili ku boost biashara yako pale ukwamapo siyo mbaya, Niwape kisa kimoja Kuna rafiki yangu alichukua mkopo kama ML 15...
  16. REJESHO HURU

    Kwanini kampuni ya Maboto haina Application Number ya mkopo katika mfumo wa ESS

    Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao...
  17. Doto12

    Simu za mkopo ni wizi mtupu

    Ni wizi kama wizi mwingine tu Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k 100000 x 12 = 1.200.000 Makato 12 months ni 1.2 milioni
  18. Behind_the_label

    Mkopo kwa dhamana ya nyumba/ kiwanja

    Habari, zenu wanajukwaa, Naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na mikopo ya bank au hizi microfinance Je, kuna uwezekano wa mtu kupata mkopo ikiwa si mwajiriwa,hana biashara rasmi kwa maana ya wanavyotaka wao leseni, mauzo sijui kwa miezi 6 nk. Nahitaji mkopo kupitia dhamana ya nyumba au...
  19. Mgaa gaa upwa

    Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Wasalaam Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank. Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
  20. B

    mkopo kwa nyumba isiyo na hati

    habari wakuu,naomba msaada kwa mwenye kujua wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati.Kwa yoyote mwenye ufahamu tujuzane wakuu.Sijaajiriwa so plz lieleweke hilo.
Back
Top Bottom