Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

captain zaka

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2025
Posts
262
Reaction score
258
Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza.

La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni siku 3 mpk 5 je ni kweli na je kuna changamoto yoyote?

La Tatu: Ninachoogopa mimi ni upande wa Quality nasikia kuna quality inayohitajika kwa mahindi ya zamani na mapya kuhusu unyevunyevu au moisture, sasa nitajuaje hiyo quality nasikia kuna kile kifaa je nitaweza kupima tani 32 kwa haraka haraka na kule kwenye soko je wanakata bei wakiona quality yako ndogo?

KAMA KUNA MTU ANAYEHUSIKA ANAYEFAHAMU ZAIDI JUU YA HILI ANICHEKI MSAADA WAKO MUHIMU
 
Mkuu mpaka hapo ushafeli maana mambo mengi kuhusiana na hiyo deal hauna uhakika nayo, vitu vingi unasema UNASIKIA, Sasa pesa ya mkopo hiyo angalia isikutokee puani
 
Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza.

La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni siku 3 mpk 5 je ni kweli na je kuna changamoto yoyote?

La Tatu: Ninachoogopa mimi ni upande wa Quality nasikia kuna quality inayohitajika kwa mahindi ya zamani na mapya kuhusu unyevunyevu au moisture, sasa nitajuaje hiyo quality nasikia kuna kile kifaa je nitaweza kupima tani 32 kwa haraka haraka na kule kwenye soko je wanakata bei wakiona quality yako ndogo?

KAMA KUNA MTU ANAYEHUSIKA ANAYEFAHAMU ZAIDI JUU YA HILI ANICHEKI MSAADA WAKO MUHIMU
Nilichojifunza ni kwamba, pesa ya mkopo haitumiki kuanzisha biashara mpya, ila inatumika kuboresha biashara ambayo tayari ilikuwepo.
 
Wewe kama unaamua kufanya biashara fanya as long as hujaingia shambani una nunua products..

Achana na mambo ya kisomi sana akili ya vita utaipata uwanja wa vita. Unaomba ushauri unaandika na figure kuna watu hata hawajui ina digits ngapi!!

Rule number 1 in business.
Take Risk.
 
Hapo kwenye soko ndio muhimu zaidi kujiridhisha kabla hujaingia vitani Ubora wa mahindi ndio kitu cha kwanza waunazingatia na ukitaka mahindi mazuri weka kambi dodoma
 
Mkopo bila uzoefu wa unachotaka kufanya, jitahidi kujitafakari vyema.

Otherwise fanya unachokijua vizuri
 
Mkuu sikushauri uanze biashara na pesa ya mkopo

Pili tafuta taarifa sahihi kuhusu hao wachina
Halafu biashara na watu viwandani ni bora uanze kwa udogo sana kuepuka hasara
Maana kukatalia mzigo hawaoni shida kma. Hauna quality wanayoitaka
 
30m kama ndio jiwe lako huna option nyingine cheza nayo defensive game usiwe unashambulia muda wote.

Unapaswa kuilinda Kwa kufanya biashara ambazo ni non-risk/ au risk ni ndogo lakini ni low profit wakati unausoma mchezo.
Angalia unauzoefu wa nini? aanza kidogokidogo hata na 10m
 
Kama unachukua basi ingiza hata mil 10 mpka 15 kwanza upime ...Unaweza kuchanganyikiwa mapema.
 
Bwashee, watu wanachukua mkopo kuendeleza biashara! Wewe unataka kurisk pesa yote hiyo halafu bado huna abc za hiyo biashara? Nakushauri komaa upate hela walau ya tani 3-6 kwanza anza mdogo mdogo , ukiona mwanga ndo uwaze kukopa sasa !
Sawa nimeelwa ila Nd maana natafta hizo ABC nkishamaliza naanza kazi...Am 24 nimemaliz chuo nimefanya Kaz za vitunguu majinvery high risk mashamban na mvua na unajua vitunguu natoa mang'ola napeleka dar , singida , iringa uko nyanzwa , njombe , moshi kote nimeingy kwaiy mahindi naona kwangu risk ndogo ila ndoivo natfta kwanz nyie viongoz wangu mnipe maelekezo muhim
 
Back
Top Bottom