captain zaka
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 262
- 258
- Thread starter
- #21
sawa ntalifanyia kaziUsichukue mkopo kama huna details za kutosha kuhusu huko kwa Wachina kamanda
sawa ntalifanyia kaziUsichukue mkopo kama huna details za kutosha kuhusu huko kwa Wachina kamanda
tayari
😂😂😂 nani Gen_z nenda benk kbsa kueka kiwanja changuKuna watu wanakopesheka million 30 mie hata buku nakopeshwa kwa masimango
ndio nimeelwa ila nd maan kbla sjafanya nikaja kuomba ushaur kwaiy bado nafanyia kazMkuu mpaka hapo ushafeli maana mambo mengi kuhusiana na hiyo deal hauna uhakika nayo, vitu vingi unasema UNASIKIA, Sasa pesa ya mkopo hiyo angalia isikutokee puani
Bro for real alooo!!! Nmemalz chuo mm nkaingy sokon mabibo nkaanz kuuza vitunguu maji very high risk naend mashambn kila mahal nmefel sana ila saiv huniambii kitu kuhusu biashar ya sokon kama mtu mzima and am just 24 😂 , guess wat saiv nmennua kiwanja na ujenz anytym naeza nkaanz kueka msingi , na nliomba tu 1M mwka juz nshairudsha. kwaiy nnavosema naanz mahindi ninefanya research ya kutosha na bado naendelea na research ankoli ✊ shukran kwa hilo nmeelewa Take riskWewe kama unaamua kufanya biashara fanya as long as hujaingia shambani una nunua products..
Achana na mambo ya kisomi sana akili ya vita utaipata uwanja wa vita. Unaomba ushauri unaandika na figure kuna watu hata hawajui ina digits ngapi!!
Rule number 1 in business.
Take Risk.
Ndio kiongoz... nd maana bado nafanya research ukisema niachie hapa kisa kuskia means ntakua nmepoteza research kubwa nlofanya nyuma , Dream yangu mm n kuwa na kampun ya export ya mazao kwend nchi za nje kwaiy nimeanz mm sokon bro kuuza vtunguu saiv nataka nichkue mali kplka dar uku naendelea na sokon badae ntaingy bandarin nkiwa na msingi mkubwa hivyo niambie kidg kidgEti nackia kibaha kwa wachina!! ( Unasimuliwa)
KAZI ni kipimo cha utu
Ndio naelewa ila sio biashara mpya kwangu , Ni hizi hizi mazao nnazofanya nmeanza na kitunguu maji mabibo sokon nlivomaliza chuo tu mwm juz i was 22 yrs now niko na 24 kwahio nna uzoef wa mali shamba na mahindi hayawez kunsumbua kama ilivo risk ya vitunguu maji nmezunguka mikoa mingi kunnua mzgo shambn na kuleta dar kutapelwa sana na mzgo kukata ela ila still niko nakimbiza nna meza sokon , kiwanja , na vingin bado mke 😂 kwaiy nazidi kufanya research nzur sana Dua zenuNilichojifunza ni kwamba, pesa ya mkopo haitumiki kuanzisha biashara mpya, ila inatumika kuboresha biashara ambayo tayari ilikuwepo.
Sawa kiongoz niko tayar kufanya hivyo labd n dodoma sehem ganiHapo kwenye soko ndio muhimu zaidi kujiridhisha kabla hujaingia vitani Ubora wa mahindi ndio kitu cha kwanza waunazingatia na ukitaka mahindi mazuri weka kambi dodoma
sawa kiongoz Ntalifanyia kaz since i started na mali kuoza vtunguu maji nahisi ata mahindi ntakua nmeyazoea ila tu kwny qualty nipitishwe zaidi na masokoMkopo bila uzoefu wa unachotaka kufanya, jitahidi kujitafakari vyema.
Otherwise fanya unachokijua vizuri
Okay sawa ndugu yangu ntalifanyia kaz kwa bidii... nmetfta watu wawil na wamenielekeza kwa mchina wapo vzur bado naendelea kufanya utafitiMkuu sikushauri uanze biashara na pesa ya mkopo
Pili tafuta taarifa sahihi kuhusu hao wachina
Halafu biashara na watu viwandani ni bora uanze kwa udogo sana kuepuka hasara
Maana kukatalia mzigo hawaoni shida kma. Hauna quality wanayoitaka
Okay sawa nimeelewa... yan katk busness ya low risk ni hio ya mahindi kwnz sio mali kuoza ni kuanglia qualty na soko hilo tu mengine ya ajali ndg yangu ni Mungu nd anajua 😂 maake nmeona wadau wengi hapa wanahofia mara gari ipate ajali sa hayo ni ya mungu 😂 Nlianzaga na mali kuoza vitunguu maji na nlikua silali usiku mpk saiv niko nayo nshazoea sembuse mahindi ata njian yakikaa hayaozi si bingo kbsa😂30m kama ndio jiwe lako huna option nyingine cheza nayo defensive game usiwe unashambulia muda wote.
Unapaswa kuilinda Kwa kufanya biashara ambazo ni non-risk/ au risk ni ndogo lakini ni low profit wakati unausoma mchezo.
Angalia unauzoefu wa nini? aanza kidogokidogo hata na 10m
sawa kiongoz nimeelewa ,Kama unachukua basi ingiza hata mil 10 mpka 15 kwanza upime ...Unaweza kuchanganyikiwa mapema
Nipe sababu kiongozUtayakanyaga achana na hizo habari
Kuna watu wanakopesheka million 30 mie hata buku nakopeshwa kwa masimango
uko wapi weweUkipata pesa njoo nikukusanyie mahindi boss
Braza hii mpk nime screenshot niisome kila muda , Apo ni A mpk Z nimeelewa kila kitu from shamba to market ntafanyia kaz sana Asante tuombeane memaPata muda ujue msimu mzuri wa ununuzi wa mahind iwe shambani zaidi kwakujikita kuandaa vituo vya ukusanyaji kwa bei ya ulanguzi,, ukipata uhakika hakikisha unaweka mashalt yako kwamba unahitaji mahindi yenye ubora upi? Kwa bei yako ya kibiashara, ukumbuke kwamba ukitangaza donge nono kwa mkulima utapata mahindi safiii yaliyo safishwa kabisaaaa, pia hutakiwi kukurupuka, mara nyingi msimu wa mavuno wakulima wanakuwa na uhitaji wa pesa ya haraka huo ndio muda wako, jitahid kucheza na gape, walanguzi wakisha zidi kwa lengo la kupandisha bei kwa wakulima usipani hapo inatakiwa utulie na mzigo wa kwanza yaaan kuwa mpole kusoma mchezo, walanguzi wakubwa wakisha pita wakulima watashusha tena! Mzigo wako unapokuwa umehifadhi gharani ingia sokoni ukiwa na options 2." option ya 1 ingia kwa Hao wachina kibaha nadhani wapo mail moja maeneo ya loliondo ulizia bei zao, na ujue ubora wa mahind wanayo hitaji pia zipo company nyingi za kusagisha Unga cheza nao.
Option 2 kodi mashine, andaa logo yako upate mifuko kg tofauti, nunua mashine ya kufungua mifuko sajil campun kisela sagisha Unga sambaza. Watu wanakula kila siku mzee wangu pambana idea ni nzuri Sana hutakiwi kuogopa muhim jipange na uwe mjanja
mkoa wa kagera boss wanguuko wapi wewe
Bei gani kwa huko mahindi mapya , Sehem ya mbali inabd bei iwe chini itanimaliza usafirishajimkoa wa kagera boss wangu