Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

Maana ya neno biashara ni Bi hasara au win au loose.
Japo hata loose ni win kwa maana unakuwa umelipia ada ya kujifunza biashara.
 
Wewe kama unaamua kufanya biashara fanya as long as hujaingia shambani una nunua products..

Achana na mambo ya kisomi sana akili ya vita utaipata uwanja wa vita. Unaomba ushauri unaandika na figure kuna watu hata hawajui ina digits ngapi!!

Rule number 1 in business.
Take Risk.
Kwa mkopo utoboe?
 
Sawa nimeelwa ila Nd maana natafta hizo ABC nkishamaliza naanza kazi...Am 24 nimemaliz chuo nimefanya Kaz za vitunguu majinvery high risk mashamban na mvua na unajua vitunguu natoa mang'ola napeleka dar , singida , iringa uko nyanzwa , njombe , moshi kote nimeingy kwaiy mahindi naona kwangu risk ndogo ila ndoivo natfta kwanz nyie viongoz wangu mnipe maelekezo muhim
Kupunguza risk nunua kile kipimo Cha moisture ni cheap na portable. Mahindi wanachoangali moisture kwa mahindi ya zama iwe around 14% na impurities. Mahindi yasiwe na uchafu mwingi au kuoza kwingi. Yawe mazuri kama ya sembe. Huwezi kukosa soko kuanzia misugusugu kwa mchina, kongowe kwa soudy, loliondo yes sembe interchick, Kuna wale hill wako bagamoyo road. Changamoto ya hii haya masoko karibu yote yanaobgozwa na madalali
 
Bwashee, watu wanachukua mkopo kuendeleza biashara! Wewe unataka kurisk pesa yote hiyo halafu bado huna abc za hiyo biashara? Nakushauri komaa upate hela walau ya tani 3-6 kwanza anza mdogo mdogo , ukiona mwanga ndo uwaze kukopa sasa !
Anaweza kuchukua mkopo lakini mdogo. Siyo wa kujilipua kama anavyotaka kufanya.
 
Sawa nimeelwa ila Nd maana natafta hizo ABC nkishamaliza naanza kazi...Am 24 nimemaliz chuo nimefanya Kaz za vitunguu majinvery high risk mashamban na mvua na unajua vitunguu natoa mang'ola napeleka dar , singida , iringa uko nyanzwa , njombe , moshi kote nimeingy kwaiy mahindi naona kwangu risk ndogo ila ndoivo natfta kwanz nyie viongoz wangu mnipe maelekezo muhim
Kama hizo mishe za vitunguu ulikuwa unanifanya kwa nini unitumie hivyo kipato kuingiza kwenye hiyo Biashara ya badala badala ya kukimbilia mkopo? Tena unaweza kuanza na magunia hata 100 tu ukasoma biashara inavyokwenda kabla ya kujilipua.
 
Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza.

La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni siku 3 mpk 5 je ni kweli na je kuna changamoto yoyote?

La Tatu: Ninachoogopa mimi ni upande wa Quality nasikia kuna quality inayohitajika kwa mahindi ya zamani na mapya kuhusu unyevunyevu au moisture, sasa nitajuaje hiyo quality nasikia kuna kile kifaa je nitaweza kupima tani 32 kwa haraka haraka na kule kwenye soko je wanakata bei wakiona quality yako ndogo?

KAMA KUNA MTU ANAYEHUSIKA ANAYEFAHAMU ZAIDI JUU YA HILI ANICHEKI MSAADA WAKO MUHIMU
Usijaribu kabisa
 
Kama hizo mishe za vitunguu ulikuwa unanifanya kwa nini unitumie hivyo kipato kuingiza kwenye hiyo Biashara ya badala badala ya kukimbilia mkopo? Tena unaweza kuanza na magunia hata 100 tu ukasoma biashara inavyokwenda kabla ya kujilipua.
Yahh kwa mawazo yenu ngj nianze na kidgo shida ya Gunia 100 ni hupati faida labda uanze tu kwajil ya kuanglia ila sio faida utalata laki au laki 2 kwa trip moja ambayo utajaza kama n single au tandam ila nkiongelea Hio 30M naongelea kujaza kichanja inakula 300 guniaz kasoro apo faida n kubwa kwsbb usafiri utakua ni bei ndogo kwsbb hizi gar kubwa unalipa kwa tonne sio kila gunia
 
Kupunguza risk nunua kile kipimo Cha moisture ni cheap na portable. Mahindi wanachoangali moisture kwa mahindi ya zama iwe around 14% na impurities. Mahindi yasiwe na uchafu mwingi au kuoza kwingi. Yawe mazuri kama ya sembe. Huwezi kukosa soko kuanzia misugusugu kwa mchina, kongowe kwa soudy, loliondo yes sembe interchick, Kuna wale hill wako bagamoyo road. Changamoto ya hii haya masoko karibu yote yanaobgozwa na madalali
broo shukran sana kwa hayo masoko... na shukran kwa ushaur nshaulizia kipimo cha moisture na nkirudi Dar naend kukinnua nimeambiwa ni laki na nusu au kama kuna mtu anauza uku pia anielekeze kwake nikannue
 
Tafuta 5mil uje Songea ulime hekali 10,ambapo unaweza kupata magunia 250 sawa na tani 25,kupitia hapo itapata exprience na kulijua soko la mahindi na changamoto zake,
Sawa kiongoz...nlishawai kuja songea kuchkua ulezi kipind napenda biashara na niko chuo napewa pocket money nazieka , Kuna rafk angu kama bro wangu nlisoma nae secndry alikua fom 4 m niko njuka fom 1 anakujaga kunnua maharage ya buni yale wanachanganya na kahawa wapate faida kubwa kwaiy wakati anakuja uko nami nkamwmby twende nikannue chchte ntaftie order mjini akatfta kule mbagala jamaa mmoja akataka ulezi nkamwmby twende nikannue by the way nlikua na 20yrs nkaja kwel songea na sh.laki 2 😂😂 et nakuja kufunga mzgo wa ulezi , Iyo laki 2 nimeeka NMB niko kwny bus najiona mfanyabiashara mkubwa sana nkafika kwel nkachkua gunia langu moja 😂😂 nkarud nkapata faid elf 30 sjui ynyw yule jamaa akaichkua tena 😂😂😂 ila kwel mahindi kule songea yapo na ntakuja sku moja Nipe namb zako ntakutfta
 
Back
Top Bottom