Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

Tupe dondoo mkuu
Biashara ya mazao ni kama bahati nasibu, unaweza kutoboa au kufia hapohapo. Kama hela za biashara ya mazao ndizo unazozitegemea kwa ajili ya maisha ya kila siku, una hatari zaidi, kwa sababu mara nyingi biashara ya mazao inaweza kukusukuma usubiri kwa muda - kuweka stock. Hapohapo kuwa makini na wadudu waharibifu unapohifadhi mazao yako.
 
captain zaka Ni haya tu, mengine ni siri ya kambi, hata ukinifuata inbox sisemi.
 
Hio unasikia tayar umeshafeliii
nashangaa mnaosema naskia , Ndio lazima uskie kwa watu nd ufanye research huwez kuwa hujaskia af unajuaje kama hicho kitu kina exist 😂😂 lazm uskie kuna hii biashara kuna mahal ni hivi nd nikaja hapa kuuliza na napata majibu naendelea na research
 
Yahh kwa mawazo yenu ngj nianze na kidgo shida ya Gunia 100 ni hupati faida labda uanze tu kwajil ya kuanglia ila sio faida utalata laki au laki 2 kwa trip moja ambayo utajaza kama n single au tandam ila nkiongelea Hio 30M naongelea kujaza kichanja inakula 300 guniaz kasoro apo faida n kubwa kwsbb usafiri utakua ni bei ndogo kwsbb hizi gar kubwa unalipa kwa tonne sio kila gunia
Tamaa ilimponza fisi! Shida ya kuanza na kikubwa ukikutana na soko limepromoka unalia kilio cha mbwa mwivi! Faida inategemea unayachukulia wapi? Hebu fikria umechukua gunia kwa elfu 60 hiyo ni milion 6, unaenda kuuza kwa elfu 90 -100 itakuwaje faida laki 2 au 3 hapo?
 
😂Endeleen kunipa madini... mnanioa ushaur ila sa hamnipi ushaur wa process ynyw wapi pakuchkulia mahind mazur bei chee , Hii thread ntaenda nayo mpk siku ntaanz kaz na ntawaambia nimeanza mpk siku nafkisha mzgo ntawaambia mpk siku napata hasara ntawaambia
 
"naskia Kwa Wachina kibaha" biashara za nasikia hizo Achana nazo usikope
 
Sasa nd nimeskia tyr na nimekuja kwenu kufanya research kwaiy mnipe idea na sio tena nsifanye , Kuskia nd kitu cha kwanza af matendo badae.
 
wapi huko atapata mkopo wa mil 30 bila riba, labda kwa ndugu yake
mimi nautafuta sana walau million 5 tu bila riba
Mkuu wangu fanya kitu kwa uwezo wako tu, sote tuna shida na matatizo ila ukiona hawakupi au hupati wa kukupa huo mkopo wa bila riba tumia ulichonacho.
 
Sasa nd nimeskia tyr na nimekuja kwenu kufanya research kwaiy mnipe idea na sio tena nsifanye , Kuskia nd kitu cha kwanza af matendo badae.
Una uhakika gan hao watakaokushauri hapa Wana uzoefu na hicho unachotaka kukifanya?
 
😂Endeleen kunipa madini... mnanioa ushaur ila sa hamnipi ushaur wa process ynyw wapi pakuchkulia mahind mazur bei chee , Hii thread ntaenda nayo mpk siku ntaanz kaz na ntawaambia nimeanza mpk siku nafkisha mzgo ntawaambia mpk siku napata hasara ntawaambia
Sasa wewe mkuu ulitaka kukopa milioni 30 ulikuwa umepanga kwenda kuchukulia wapi na kuuzia wapi? Hiki ndicho wadau wanakwambia usiingie mzimamzima. Mahali unakoweza kupata mahindi kwa bei nafuu ni Katavi! Ngoja nitakusaidia kuulizia bei ya sasa hivi!
 
Back
Top Bottom