Mpya kutoka wizara ya kilimo: muongozo kwa wanaoomba mkopo mfuko wa pembejeo

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
254
Reaction score
350
1000732316.jpg

WALENGWA WA MFUKO WA PEMBEJEO

1. Wakulima Binafsi
2. Vikundi
3. Kampuni zilizo sajiriwa
4. Vyama vya ushirika
5. Taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya kilimo.

AINA ZA MIKOPO

A. MKULIMA NAFUU LOAN

Huu ni mkopo unaowalenga wanawake na vijana wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 Kwa wanaume na 65 Kwa wanawake ambao wanajishugulisha na kilimo

SIFA ZA MKULIMA NAFUU LOAN

1. Riba nafuu ya 4.5% kwa mwaka
1. Muda wa rehema (Grace period) hadi miezi kumi na mbili (12) kulingana na aina ya mkopo
3. Taratibu za marejesho inaweza kuwa kwa mwezi,miezi mitatu, miezi sita ,kwa mwaka mara moja au kwa mkupuo kulingana na aina ya mradi.

B. MKULIMA LOAN

Huu ni mkopo kwa Wakulima Binafsi,Vikundi,Kampuni zilizosajiliwa,Vyama vya ushirika

SIFA ZA MKULIMA LOAN

1. Riba ya mkopo ni asilimia saba (7%) kwa mwaka
2. Muda wa rehema ni miezi mitatu (3) au zaidi kulingana na aina ya mkopo
3. Muda wa kulipa mkopo ni hadi miaka mtatu
4. Taratibu za marejesho inaweza kuwa kwa mwezi,miezi mitatu, miezi sita ,kwa mwaka mara moja au kwa mkupuo kulingana na aina ya mradi.

C. MIKOPO MIKUBWA

Mkopo huu ni maalum kwa taasisi za kifedha na kijamii zinazotoa mikopo kwa wakulima kurahisisha upatokanaji wa pembejeo.

SIFA ZA MIKOPO MIKUBWA
1. Riba ya hadi asilimia tano (5%) kwa mwaka
2. Muda wa rehema ni miezi sita (6) au zaidi kulingana na aina ya mkopo.

DHAMANA ZA MIKOPO.

A. MKULIMA NAFUU LOAN
Kutegemea na Aina ya mkopo yaweza kuwa;

1. Mali binafsi
2. Hatimiliki ya kimila au
3. Hatimiliki ya mali isiyo hamishika
4. Mkataba wa mauziano wa shamba au kiwanja
5. Mali za mradi unazokopea

B. MKULIMA LOAN NA MIKOPO MIKUBWA

1. Hatimiliki ya mali isiyo hamishika inayo endana na thamani ya mkopo unaoomba.

MAENEO YANAYO GHARAMIWA NA MIKOPO HII
1. Kilimo cha mazao ya muda mfupi
2. Uongezaji wa thamani wa mazao ya kilimo
3. Kilimo cha umwagiliaji
4. Uhifadhi wa mazao
5. Pembejeo
6. Gharama za uendeshaji wa shughuli za kilimo na mifugo
7. Miundombinu ya ufugaji
8. Zana za kilimo

FOMU YA MAOMBI YA MKOPO NI LAZIMA IAMBATANISHWE NA NYARAKA ZIFUATAZO
a) Andiko la mradi (Business plan) kwa kufuata muongozo ulio katika fomu ya maombi ya mkopo
b) Barua ya utambulisho kutoka serikali ya Mtaa/Kijiji mahali ambapo mradi utafanyika
c) Barua ya utambulisho kutoka serikali ya Mtaa/Kijiji mahali unapoishi
d) Nakala kivuli ya kitambulisho cha Taifa
e) Nakala kivuli ya utambulisho wa mlipa kodi -TIN
f) Uthibitisho wa umiliki wa ardhi
g) Nakala kivuli ya hatimiliki/Uthibitisho dhamana kwa mikopo ya Mkulima nafuu

Maombi yatumwe kwenda

Mfuko wa Pembejeo
S.L.P 2382,
Dodoma, Tanzania

UNAWEZA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA KILIMO KWA TAARIFA, MAARIFA NA ELIMU YA KILIMO KIBIASHARA, PIA NA USAIDIZI WA KUANDAA ANDIKO LA MRADI 0764 148 221
 
Wametoa yale masuala ya Hati miliki ya serikali "Tittle".
 
Mkuu ahsante kwa andiko.
Umesema una group wasapu sio? Je hilo ni group nalipia kujiunga?

Mkopo unachukua muda gani hadi kupata baada ya kumaliza kutuma?
 
NB: Grouo letu sio la mikopo ni elimu,taarifa ushauri na usaidiz wa kitaalamu. Ada yetu ni 30,000 kwa mwaka. Wasiliana nasi kwa taarifa zaidi
 
View attachment 3287881
WALENGWA WA MFUKO WA PEMBEJEO

1. Wakulima Binafsi
2. Vikundi
3. Kampuni zilizo sajiriwa
4. Vyama vya ushirika
5. Taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya kilimo.

AINA ZA MIKOPO

A. MKULIMA NAFUU LOAN

Huu ni mkopo unaowalenga wanawake na vijana wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 Kwa wanaume na 65 Kwa wanawake ambao wanajishugulisha na kilimo

SIFA ZA MKULIMA NAFUU LOAN

1. Riba nafuu ya 4.5% kwa mwaka
1. Muda wa rehema (Grace period) hadi miezi kumi na mbili (12) kulingana na aina ya mkopo
3. Taratibu za marejesho inaweza kuwa kwa mwezi,miezi mitatu, miezi sita ,kwa mwaka mara moja au kwa mkupuo kulingana na aina ya mradi.

B. MKULIMA LOAN

Huu ni mkopo kwa Wakulima Binafsi,Vikundi,Kampuni zilizosajiliwa,Vyama vya ushirika

SIFA ZA MKULIMA LOAN

1. Riba ya mkopo ni asilimia saba (7%) kwa mwaka
2. Muda wa rehema ni miezi mitatu (3) au zaidi kulingana na aina ya mkopo
3. Muda wa kulipa mkopo ni hadi miaka mtatu
4. Taratibu za marejesho inaweza kuwa kwa mwezi,miezi mitatu, miezi sita ,kwa mwaka mara moja au kwa mkupuo kulingana na aina ya mradi.

C. MIKOPO MIKUBWA

Mkopo huu ni maalum kwa taasisi za kifedha na kijamii zinazotoa mikopo kwa wakulima kurahisisha upatokanaji wa pembejeo.

SIFA ZA MIKOPO MIKUBWA
1. Riba ya hadi asilimia tano (5%) kwa mwaka
2. Muda wa rehema ni miezi sita (6) au zaidi kulingana na aina ya mkopo.

DHAMANA ZA MIKOPO.

A. MKULIMA NAFUU LOAN
Kutegemea na Aina ya mkopo yaweza kuwa;

1. Mali binafsi
2. Hatimiliki ya kimila au
3. Hatimiliki ya mali isiyo hamishika
4. Mkataba wa mauziano wa shamba au kiwanja
5. Mali za mradi unazokopea

B. MKULIMA LOAN NA MIKOPO MIKUBWA

1. Hatimiliki ya mali isiyo hamishika inayo endana na thamani ya mkopo unaoomba.

MAENEO YANAYO GHARAMIWA NA MIKOPO HII
1. Kilimo cha mazao ya muda mfupi
2. Uongezaji wa thamani wa mazao ya kilimo
3. Kilimo cha umwagiliaji
4. Uhifadhi wa mazao
5. Pembejeo
6. Gharama za uendeshaji wa shughuli za kilimo na mifugo
7. Miundombinu ya ufugaji
8. Zana za kilimo

FOMU YA MAOMBI YA MKOPO NI LAZIMA IAMBATANISHWE NA NYARAKA ZIFUATAZO
a) Andiko la mradi (Business plan) kwa kufuata muongozo ulio katika fomu ya maombi ya mkopo
b) Barua ya utambulisho kutoka serikali ya Mtaa/Kijiji mahali ambapo mradi utafanyika
c) Barua ya utambulisho kutoka serikali ya Mtaa/Kijiji mahali unapoishi
d) Nakala kivuli ya kitambulisho cha Taifa
e) Nakala kivuli ya utambulisho wa mlipa kodi -TIN
f) Uthibitisho wa umiliki wa ardhi
g) Nakala kivuli ya hatimiliki/Uthibitisho dhamana kwa mikopo ya Mkulima nafuu

Maombi yatumwe kwenda

Mfuko wa Pembejeo
S.L.P 2382,
Dodoma, Tanzania

UNAWEZA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA KILIMO KWA TAARIFA, MAARIFA NA ELIMU YA KILIMO KIBIASHARA, PIA NA USAIDIZI WA KUANDAA ANDIKO LA MRADI 0764 148 221
Mkuu,unaumwandikia Nani?Eg manager, Mkurugenzi nk.
 
Back
Top Bottom