Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo

Joined
Apr 4, 2025
Posts
6
Reaction score
10
Ni mwaka wa tatu nmeomba mkopo helsb lakini sijapata. Je njia Gani niweze kutumia ili mwaka huu nipate? Au ni vizuri niende diploma niachane na bachelor degree?
 
Mbona unaonekana namna unavo andika kama bado upo kidato cha tatu? Then unatudanganya kuwa upo chuo mwaka wa pili? ACHA UONGO
 
Sikuelewa maada ya uandishi hiyo ndo issue. Lakini ulichokiona ni reality.
 
Ni mwaka wa tatu nmeomba mkopo helsb lakini sijapata. Je njia Gani niweze kutumia ili mwaka huu nipate? Au ni vizuri niende diploma niachane na bachelor degree?
Kaka umesoma wapi O'level and Advance na ulikuwa unaomba kusoma Programmes zipi!? Pia unataka ukasome Diploma zipi unajua zipo Dilpma zina Gharama zaid kulilo kusoma Bachelor!?? Pia Adavnce ulisoma Comination ipi angalau tukushauri ukasome wapi ambapo Ada ni nafuu hata kama utakosa Mkopo
 
Combination - CBG
O' level-KIHENYA SEC SCHOOL
A'Level-KASULU HIGH SCHOOL.
Bachelor science with education.
Kwa diploma nlitaka-Special diploma in primary education.
 
Back
Top Bottom