Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni
Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho?
1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama dhamana hili likoje?
2. Riba na marejesho kwa mwezi yatakuwaje? Kama mkopo ukiwa miaka 3?
Naomba ushauri...
Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia.
Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya Mazingira ya India tayari imewasilisha pendekezo hilo lakini maelezo kuhusu idadi ya duma walioombwa...
Habari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Hivi karibuni Serikali ilitoa mkopo kwa watumishi wake kupitia hazina portal, lengo likiwa kununua vyombo vya usafiri.
Mkopo huu umekuwa kikwazo kwa walengwa waliotumaini kufunga mwaka na usafiri wao na kuacha na njia au harakati zingine ambazo zingewasaidia kutimiza malengo hayo kwani mkopo...
Ndugu zangu Nina simu nauza ila ni ya mkopo. Imebakiza miezi mitatu kumaliza. Ni Infinix smart 7+. Nina dharura na Sina kitu kingine Cha ziada. Anaeweza kunisaidia kuinunua naomba tuwasiliane please.
Habari za asubuhi Wanajf!
Bila kipoteza muda,naombeni kujua ni vigezo gani vitaniwezesha kupata mkopo wa Biashara CRDB Benki.
NB:
Ni mara ya kwanza na naona kwenda Tawini ni changamoto nipo Shambani
Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa.
Amefatilia kwa Afisa Mikopo...
HIili swala la mikopo uumiza mitaani na na kwa njia ya online, limegeuka kilio na maumivu kwa watu wengi na ushahidi ni kuongezeka kwa nyuzi(thread) kuhusu mikopo umiza hapa hspa JamiiForums.
Malalamiko haya hayajaanza leo, jana wala juzi, bali ni ya muda mrefu na bahati nzuri serikali ikaja na...
Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu?
1.Cha form 4
2.Cheti cha kuzaliwa
3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda
4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE
5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA
Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu...
Naomba kuuliza je page ya kusaini ya kuapeal inatakiwa kusainiwa na muhusika bila ushibitisho wa mamlaka flani ka mahakama, mwenyekiti au mtendaji.
Msaada tafadhali
Alisoma:
Primary: English Medium.
O level: private.
A. Level: government
Occupation:
1. Baba: mkulima.
2. Mama: mama wa nyumbani.
Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu.
Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
Wakati Baba anahudumiwa, aliambiwa atarejesha Tsh. 13, 600/= kwa wiki.
Lakini Baba ametumiwa mkataba kwa njia ya mtandao, alipoufungua amekuta amesainiwa fomu yenye makato ya Tsh.14,300/= kwa wiki, tofauti na aliyofahamishwa, na mkataba haubadilishiki. Imekula kwa Baba.
Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka.
Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi. Muhimbili (MUHAS) tunaojiunga au tunaotarajiwa kujiunga katika masomo ya Shahada ya Kwanza kutokea Ngazi...
Anonymous
Thread
diploma
heslb
kimya
mkopo
muhimbili
udahili
wanafunzi
wapo
wiki
Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote.
Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
Habari Wana JamiiForums.
Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB).
Swali langu ni hivi ikitokea umepewa Mkopo wa Diploma ukasoma ukahitimu Alfu badae ukahitaji kuendelea na Elimu ya Juu (Degree), Je!! ukiomba...
Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena.
Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu.
6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO
6.1 Maeneo ya Kipaumbele
Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa
kama ilivyoainishwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.