Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo
Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi
Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
Habarini za Asubuhi wana JF
Niende direct kwenye jambo
Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio...
Habarini za Asubuhi wana JF, niende direct kwenye jambo.
Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio...
Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana.
Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE".
Hawa jamaa walinikopesha elfu 42 mtandaoni kwa muda wa siku 7.
Siku jana nilitakiwa ndiyo nilipe...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.
Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.
Nakaa...
Habari za mchana wanajamvi, mimi ni kujana mwenye miaka 33, katika kujitafuta baada ya mapambano ya muda mrefu ya hapa na pale nimefanikiwa kupata kandarasi ya kutekeleza mradi wa taasisi mojawapo ya serikali. Mradi huo una thamani inayofikia 120M, changamoto inayonikabili kwa sasa ni mtaji wa...
JIKO LA MKOPO. 40700/=
Okoa gharama ya gesi na mkaa. Ivisha maharage Kwa Tsh 350 tu.
Umeme kidogo , okoa muda jikoni
Tutafute kwa namba
Whatsap. 0620135671
Call and sms 0620135671
Mimi ni kajana niliye fanikiwa kusoma na kumaliza Bachelor ya Business Administration.
Tangu kumaliza chuo (2022) hadi leo, nimebahatika kufanya kazi katika kampuni 4 zinazojihusisha na usafirishaji wa mizigo kutoka Nje.
Kutokana na changamoto za kazi, ndo zilinifanya kuhama hama na hatimaye...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali imetenga Tsh. bilioni 48 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa ngazi ya stashahada.
Amesema hayo leo Jumanne, Januari 16, 2024 wakati wa ufunguzi wa Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) Mkoani Mbeya ambapo amesema...
Habari, Naomba tujadili hili ni sawa?
Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
Wakuu
Moja ya kijana naye mfadhili masomo toka primary leo ameniambia ndio amepata mkopo
Kwenye process nzima alinishirikisha toka mwanzo.
Ile hawamu ya kwanza aliniambia hajapata, baada ya hapo hakunipa mrejesho tena
Kwa kuwa mda wa vyuo ulikua unakaribia nikafanya mchakato akapata ada na...
Wakuu Sina mambo mengi, naombeni uhakika wa utoaji wa mkopo toka Tala online loan.
Niko kwenye Mazingira ambayo nahitaji pesa na nimekutana na matangazo Yao online nikaona wanaweza kuwa msaada katika kipindi hiki nachokipitia.
Vipi wakuu Hawa Tala online loan ni really au chqnga la macho
Kwenye list yangu namba 1 nimemweka Irene Uwoya. Huyu nimetenga mil 50 nimle na nyingine zitakaZo baki kuna wadada wengine 3 hawa mmoja naye ni muigizaji wengine si waigizaji.
Mkopo umefanikiwa juzi. Nimewekewa kwenye account yangu. Nikawaza hapa lazima nijipongeze. Si kitu kidogo. Miradi...
Wakuu kheri ya sikukuu ya kuzaliwa KWA Yesu? Assalam aleyko?
Nilikuwa naomba kuuliza kama upo na asset unaweza kwenda kuomba mkopo KWA ajili ya biashara au ni lazima iwepo biashara ambayo ipo?
Na kama ni lazima iwepo biashara kuna alternative yoyote unaweza para mkopo kwa asset uliyonayo KWA...
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal.
Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine.
Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail.
Nitaweka interface hapa kurahisisha.
Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help
Link ni...
Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya Tanzania-Burundi- DR Congo Standard Gauge (SGR).
Awamu hii itashuhudia ujenzi wa kilomita 651 za reli ya njia...
Mkopo huo umeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwaajili ya kuiongezea uwezo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Kwa mujibu taarifa ya AfDB, Benki ya TADB itapokea nyongeza ya Tsh. Bilioni 3 kwaajili ya kuwezesha awamu ya pili ya Mpango wa Kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.