Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam kwa mawasiliano zaid Call or Whatssap (0719415519)...
Wazo la kukopa trekta HP 50 kulima mashamba yako kukodisha Mara chache ili upate mafuta.Kulima heka 600 yaani eka 20 kwa siku.
Mazao ni yale yasiyo na changamoto nyingi mfano kunde, karanga,mtama,mihogo,viazi vitamu,mbaazi,njugu. mategemeo ni gunia 1000 kwa msimu mmoja wa zao moja wapo.
HP 50...
Habari wakuu,
Nimeona matangazo mengi sana kuhusu simu za mkopo nilikuwa nina mpango wa kumchukulia mtu aweze kutumia.
Sasa swali langu kama kuna mtu yoyote alishawahii kuchukua na akawa analipa mdogo mdogo anipe ABC, simu nayotaka ni samsung A04e.
Mfano ukachelewesha malipo siku mbili...
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam
kwa Mawasiliano zaid Call or Whatssap {0719415519}
List...
Habari zenu wakuu.
Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je?
Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe.
Natanguliza...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama.
Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu.
Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa.
Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500.
Ukiangalia kwenye mapato yao wana...
Maelezo ya mkopo huo mkubwa kuwahi kutokea kwa Zanzibar yapo mwisho kabisa mwa uzi huu.
Hoja yangu kubwa ni uhitaji wa kujenga kiwanja kikubwa cha kimataifa katika kisiwa cha Pemba wakati tayari upo uwanja kama huo Unguja ambapo ni kilometer 100 tu kutoka Pemba.
Pia kujenga kilometer 800 za...
Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M -5M...
Bidhaa za thamani hii kwa mkoa wa Dar es Salaam zinauzika kwa kasi ya chini sana na...
Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania.
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
Benki ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wa Dola za Marekani milioni 300 za Marekani, sawa na zaidi ya Sh700 bilioni kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuimarisha sekta ya kilimo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mkopo huo uliotolewa chini ya programu ya matokeo (PforR) ambayo...
MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI
Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za dharula zielekezwe katika kutekeleza miradi
Sanga ameyasema hayo Bungeni wakati akichangia hoja kwenye...
CHANGAMOTO ZA" MKOPO "WA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WANAOTOKA KATIKA KAYA/FAMILIA MASIKINI
Makopo ya elimu ya juu ni chombo muhimu sana katika kusaidia wanafunzi wenye uwezo mdogo kifedha kupata elimu bora. Hata hivyo, wanafunzi wanaotokea katika familia masikini mara nyingi wanakabiliwa na...
Kwa Mujibu wa handle ya Twitter ya Tanzania Business Insight, Tanzania itapokea mkopo wa dharura na haraka wa $153M kwa ajili ya ku support budget yetu.
Katika marejeo ya Shirika hilo la fedha duniani, inaonekana Tanzania inafanya vizur licha ya changamoto kubwa za uchumi duniani .
Sasa...
Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%.
Hayo yamenitokea baada ya kujaribu kutafuta Mkopo katika bank hiyo, huku wakiniambia mwezi huu tarehe 15 ndo...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari.
Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB.
Je, hizi tetesi ni kweli.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.