Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu
Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo
Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake
Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
Huyo / Huyu ndiyo Jean GENTAMYCINE Baleke ambaye kwa Taarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli.
Hapa kaja tu Nusu Msimu tayari anatupia kiasi hiki je, vipi kama nae angeanza mwanzoni wakati Msimu wa Ligi...
Niliwahi kusikia mara moja tuu sijui ni kwenye awamu gani kwamba serikali imeshindwa kuchukua mkopo wa mabilioni kutokana na masharti yake kuwa magumu. Baada ya hapo sikuwahi kusikia tena hilo bali ni serikali kuendelea kupokea mabilioni ya MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU.
Je, serikali yako imewahi...
Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.
Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.
Na tuliojiajiri tunakumbushwa...
Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road tu.
Rejesho ni 139,400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni...
Bank ya Standard Chartered imeipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya ujenzi wa mradi wa reli ya Sgr kwenye lot 3 na 4..
=======
The Tanzania government has received a grant of 1.4bn/- (approximately $ 596,406) from International Standard Chartered Bank Ltd which will...
Hili liko wazi,
CHADEMA iko katika harakati za kumpitisha Mgombea wa CCM kiulaini mwaka 2025. Chadema nao wameamua kuunga mkono juhudi kwa staili nyingine , na hawataki kusikia la muadhini wala la mnadi swala.
Naam nimemsiki Sugu juzi, nilishamsikia Mbowe aliyetoka kuwekwa jela na Mtawala...
Ndugu ukinunua Simu hasa simu za smart phone kumekuwa na wimbi kubwa LA watu kuuziwa au kununua Simu huku akiwa hawajui kuwa ni za kulipia baada ya wiki au siku kadhaa Simu inalokiwa huku wakishindwa wafanyeje.
nyaje?
Mambo vipi wana jukwaa mko poa, wazima nyote, nije kwenye shida yangu hii, nauliza naweza kupata mkopo wa kama sh laki moja bila riba, au kama riba ipo iwe nafuu kidogo,
Kuna shida naitaji kuzitatua kidogo kama kuna uwezekano nikapata mkopo, kuhusu uaminifu ndo nguzo kuu, je naweza kupata...
Nilikuwa nikipita karibu na ile bank niliyokopa zaidi ya m18 moyo unaanza kimbia na pumzi nayo nzito😂😂😂😂
Mkopo kwa nia ya biashara, kujenga, gari ikatokea tu ghafla paap pesa huioni imekata bila matarajio inaumaa sana. Kimbembe ukiinua salary slip ukitizama basic na take home roho inaumaa...
Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji.
Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
Mimi ni mtumishi katika mkoa mmoja hapa Tanzania, Mwezi wa 5 mwaka Jana niliomba mkopo katika benki ya CRDB, lakini wakachelewa kunipatia mkopo wakisema mwajili wangu hakuidhinisha makato,mwisho nikawaomba tuahilishe zoezi la mkopo na tukakubaliana.
Ajabu ni kuwa kumbe Mwajili aliidhinisha...
Habari za majukumu wadau,
Mie ni mjasiriamali mdogo wa nafaka, natoa mikoani nazileta mjini nauza kwa jumla, Sina fremu ya kufikishia biashara yangu hivyo nikifika madalali hunidaka na kunidalalia kwa wanaouza kwa jumla nami nageuza zangu shamba. Hii hali nimejikuta kama nawatajirisha madalali...
Hello jamaa zangu,
Tumaini langu mnaendelea vizuri.
Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana.
Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
Kwa wale wanaoona tarakimu za makato ya mkopo wa elimu ya juu wanaelewa faraja ya kumaliza mkopo juu.
Kwakeli wale waliochelewa kujiunga na elimu ya juu wanaulipa mpaka miaka ya kukaribia kustaafu. Infewezekana kusamehe wa miaka 50+ iliwaanze kujiandaa na maisha ya kustaafu.
Kuna wana aga...
Wakuu habari zenu
Nina uhitaji wa mkopo wa haraka ili niweze kufanikisha biashara yangu na nisipoteze watena hivyo ninahuitaji wa haraka wa mkopo kiasi cha milioni 1.4 au 1.5 (milioni moja na nusu)
Muda wa kurejesha ni ndani ya siku 14 yaani nusu mwezi kitu cha kukaa kama dhamani ni pikipiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.