Wafuataoa CCM inaweza wapeleka ACT Wazalendo kwa mkopo

Wafuataoa CCM inaweza wapeleka ACT Wazalendo kwa mkopo

1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19

Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
chama mfu kilichopoteza uelekeo kina haha na ramli tu sasaivi dah :pedroP:
 
1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19

Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Mungai ccm wamemuundia zengwe wanataka bank wapige mnada nyumba zao huko kawe
 
1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19

Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Haahaa Kuna kaukweli
 
Mnyika ana furaha kwenye uongozi mpya kwani ni katibu mkuu kamili sasa, anatia sahihi kuchua pesa bank na wajibu wake anautimiza vizuri tofauti na kipindi cha Mbowe ambapo katibu mkuu hakuwa na mamlaka kitengo cha fedha
 
Umeingia chaka
Chaka ni ccm kuanguka anguko kubwa mwaka huu, watu hawatajitokeza kupiga kura ccm itadhoofika kama KANU ya Kenya, Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unaenda kutimia Dr mpango atakuwa Rais wa mpito, mungu anaenda kutenda jambo kubwa kama Senegal, Ghana,Zambia waliotoka jela ndiyo marais sasa
 
ni kawaida kwenye maombolezo kumzungumzia marehemu gentleman :pulpTRAVOLTA:
ukiona hivyo jua na chama lako CCM ni marehemu maana imeandikwa

acha wafu wawaombee wafu wenzao

kwa hio marehemu mnaongeleana wenyewe
 
1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19

Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Makubwa
IMG-20250605-WA0034.jpg
 
1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19

Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Nashauri waende Chaumma kuokoa jahazi - maana mambo ya jana ilikiwa ni aibu kubwa kwa hawa wasaliti.
 
Amos makala IGP Bashungwa na chawaccm wamegeuza manyanyaso ya chadema kama fursa ya kuiba pesa za walipa kodi wamekwapua bilion 15 Hazina kwa kisingizio cha kutuliza joto la Siasa ni wazee wa fursa, Lisu chadema wanataabika wao wanapiga pesa kupitia mateso uonevu manyanyaso kwa chadema ni wizi mpya na vitendo haramu vya kishetani
 
1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19

Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Waendelee kupotea tutengeneze kizazi kipya cha wanasiasa. Miaka Karibia 30 waliyotumika inatosha.
 
Back
Top Bottom