mkumbo

Diana Mkumbo Chilolo (born 14 April 1954) is a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania. She has been a member since 2000. She is a member of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.

View More On Wikipedia.org
  1. Wasomi wa vyuo siku hizi hamna kitu, wanafuata mkumbo tu

    Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamii iwachukulie kama vile wamesoma sana. Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu😬 kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu...
  2. Q

    Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

    "Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
  3. L

    Rais Samia umenifurahisha kwa kuwapiga chini Kitila Mkumbo na Mwita Waitara

    Hawa jamaa ni wanafiki kupita maelezo , kwanza walikua upinzani wakaamia CCM muda mfupi wakapata teuzi huku wafia chama wakiachwa.Hawa jamaa walibebwa na Hayati JPM.Binafsi umenifurahisha sana kwa kuwapiga chini. Naomba kamati kuu ya CCM wasiwapitishe kugombea ubunge na hata udiwani, waache...
  4. Dodoma: Profesa Mkumbo ajivua sera ya viwanda 100 kila mkoa

    Picha: Prof. Mkumbo Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo amesema suala la viwanda 100 kila mkoa siyo mpango wake na halipo kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hata hivyo amesema kazi kubwa ni kusimamia ujenzi wa viwanda kila mtaa na kuanzisha ukanda maalumu wa viwanda...
  5. N

    Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Professor Mkumbo ==================== ==================== CV ya Proff. Kitila Mkumbo...
  6. P

    Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

    Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa. Prof...
  7. R

    Kidato cha sita msichague kozi kwa mkumbo

    Moja ya jambo ambalo vijana wengi wanafanya wakiwa katika kuchagua course za kusomea chuoni ni kufata mkumbo na kuiga kile ambacho wenzao wamechagua. Wito wangu kwa form six wote waliomaliza sasa hivi, ni kuangalia kwa upana zaidi nini unataka katika maisha yako, usiende kusomea course ambayo...
  8. Uchumi wa Kati: Waziri wa Viwanda, Kitila Mkumbo azindua tela la kubeba mizigo

    Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania . Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS ========== Nimesoma hii Habari ; "Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amezindua Tela la...
  9. Hivi kiongozi kufuata mkumbo wa dunia ni uongozi wa namna gani?

    Nimeshtuka sana baada ya mama yetu SSH kufanya maamuzi kwa kufuata mkumbo wa ulimwenguni wa kuchanja watu chanjo ya korona! Seriously, kwa kuwa dunia inachanja bila kujali madhara wanayopata kwa chanjo ya majaribio, na ukweli kwamba haikingi kihivyo, mnatutoa kwenye reli salama tuliyoachiwa na...
  10. C

    Nimejifunza kutokufata mkumbo wa biashara inayofanywa na mtu

    Habari zenu wadau Mimi ni mfanyabiashara wa jeans za mtumba za kiume, sina muda sana kwenye hii biashara ni kama miezi kadhaa. Sehemu zangu ni katika minada na magulio katika kuzunguka kwangu nikakutana na jamaa yeye anauza urembo nae pia tunazunguka wote katika minada. Biashara yake ilianza...
  11. Usinunue gari kwa kufuata mkumbo, inagharimu muda mwingine

    Usinunue gari kwa kufuata mkumbo. Si kwa sababu fulani analo au watu wengi wanalo, au kila mtu ananunua gari hilo then na wewe ndio uamue kununua gari hilo. Inagharimu sana muda meingine. Kuna watu wameyachukia sana magari fulani kwa sababu tu alilipenda baada ya kumuona fulani anaendesha naye...
  12. Muelekeo wa Uwekezaji nchini chini ya uongozi wa Prof. Mkumbo, Tunatokaje tulipo?

    Kuna msemo kuwa ili kupata matokeo yasiyo ya kawaida, ni lazima kwanza kufanya kitu kisichokuwa cha kawaida . Sote tunakubaliana kuwa ili kukuza uchumi wetu, kwa vyovyote vile ni lazima tukuze uwekezaji wa kutoka nje lakini pia wa ndani ya nchi. Hata hiyo sio tu kwamba kasi ya uwekezaji kwa...
  13. B

    Profesa Kitila Mkumbo, wewe ni Waziri jadili hoja za Wizara uliyokabidhiwa

    Nimefuatilia mahojiano ITV Kati ya mtangazaji na Dr. Kitilla Mkumbo kuhusu hoja mbalimbali. Kwa ngazi yake ya elimu na hoja alizotoa unaona namna elimu ya Phd isivyo na umuhimu hasa kwa mwanasiasa. Leo Kitila Mkumbo aliyekosa ushawishi kwa Wana ubungo anatuaminisha upinzani imepoteza imani kwa...
  14. Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

    Tunaoendesha vigari vya Kijapani esp. Toyota tunabezwa sana humu ooh gari mbaya, mbovu, haziko stable na blaah blaah nyengine. Ni sawa ila zinatibika kwa wepesi bila kuua account bank. Kabla hujajiingiza huko hebu cheki mambo ya Audi A6 huku na hii ni ya 2004. Kwa hisani ya Jerry Spare Parts...
  15. Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
  16. Vijana wengi wanafuata mkumbo na kuchukulia kuwa Mpinzani ni fasheni na kwenda na wakati

    Hapo vipi! Binafsi mwaka 2019 nilikuwa mwanachama wa chama fulani cha upinzani, ila nilikaa nikatafakari na nikachunguza hicho chama mbadala nikagundua ni kitakuja kuwa ni chama cha ovyo kitakachokuwa kama kampuni ya watu fulani wanaotoka katika kabila fulani. Pima nimepima sera zake nikagundua...
  17. J

    Prof Kitila Mkumbo aibukia KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsai, mchungaji amshukuru Rais Magufuli kwa flyover za Ubungo

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa. Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za...
  18. Uchaguzi 2020 Dakika 45 ITV tunaamini baada ya kumhoji Kitila Mkumbo anayefuatia ni Boniface Jacob

    Kama mlivyofanya kwa Wagombea wa Urais kwa kuwahoji wote basi bila shaka ndivyo mtakavyofanya kwa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo hasa baada ya kuanza kumhoji Mgombea ubunge wa CCM, Kitila Mkumbo wiki hii ambaye si kiongozi wa CCM. Tunaamini atakayefuatia wiki ijayo ni Boniface Jacob wa CHADEMA.
  19. Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania" ===== LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mgombea Urais...
  20. Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…