Diana Mkumbo Chilolo (born 14 April 1954) is a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania. She has been a member since 2000. She is a member of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye ni mwanazuoni mbobevu na mkazi wa Ubungo kwa zaidi ya miaka 20, kesho atazindua rasmi kampeni zake kwa jimbo hilo.
Prof. Kitila ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuwa mshindi wa jimbo hili, atazindua...
Nimeona mkutano wa Kitila Mkumbo Ubungo Maji, kwa idadi ya watu alionao na kwa nanmna viongozi wa ccm wa mashina wanavyotumia nguvu kumnadi na kuamasisha wanachama wahudhurie mikutano yake sidhani Kama atapata hata kura elfu mbili, ukiona unakosa mvuto kwa wananchi Wanaokuzunguka hata Salam...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe .
Mtoto wa Mjini ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi.
====
Kitila Mkumbo ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ana phd ya Saikolojia, Maters ya Elimu...
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo anaonekana akichimba mtaro wa kulaza bomba katika mradi unaogharimu zaidi ya TShs bilioni 8 kupeleka maji kwenye vijiji vitatu.
Joto la harakati za kupata ubunge limezidi kupamba moto miongoni mwa watia nia wa chama tawala pamoja na vyama vya upinzani.
Ni sarakasi , vitimbi na mnyukano vinaendelea huko majimboni.
Hapa nataka nizungumzie jimbo la Iramba Magharibi ambalo lipo chini ya Dr Mwigulu kupitia chama Cha...
Hivi majuzi, Katibu wa Siasa na Itikadi Ndg Humphrey Polepole, Kwa niaba ya Chama aliongea na wandishi wa habari Kama mlivyomsikia alisema,
1) Wale wasaka Ubunge wanaovuruga majimbo ya CCM hawatateuliwa maana ni walafi wa madaraka.
2) Wale walioteuliwa na Rais katika majukumu mbalimbali mfano...
Iwe mvua Au jua watu wa Iramba tunamhitaji Prof. KITILA MKUMBO 2020 awe mwakilishi wetu Bungeni, Haya ni matamanio yetu kutoka nyoyoni mwetu wanaIramba, CCM na wanaccm tupo tayari kumsapoti.
Iramba haikupaswa kuwa hivi
Jimbo la Iramba limekuwa na vita vikali kati ya Mwigulu Nchemba (Mbunge wa sasa aliyewahi kuwa Waziri pia) na Katibu Mkuu wa sasa Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo. Wasomi hawa wamekuwa na msigishano wa hapa na pale na kufanya Jimbo sasa kuangalia zadi watu waofaa badala ya kuangalia nini...
Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania.
Tukumbuke watu...
Kuna mtindo ndani ya CCM kuwateua walioshindwa ktk mchakato wa ubunge kushika nafasi za utendaji serikalini. Ni makosa na hasara kwa wananchi wanaohitaji utendaji bora.
Hawa ni wanasiasa wasio na utendaji mzuri kitaaluma na wanaweza kuwa wamefikia ukomo wa fikra ktk serikali. Wanapoteuliwa ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.