Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa...
Waziri wa Maji pamoja na Mkurugenzi mkuu wa DAWASCO tunaomba mtukwamue sisi wakazi wa Mbezi hasa Mpiji, Msumi na Msakuzi ambao DAWASCO na wafanyabiashara wa magari ya maji wamekuwa wanatupa mateso sana.
Ni dhahiri kutokana na watendaji wa DAWASCO na wafanyabiashara inaonekana hawataki kabisa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amewateua wafuatao:-
i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).
ii) Amemteua...
ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC
“Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center.
Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi.
Mimi binafsi...
Nenda Mkoa wa Geita ukajionee
Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa tumesainishwa.
Wananchi na wakandarasi huko wako wanakusubiri ukawape majibu na uelekeo wa mikataba na...
Baada ya kuzinduliwa Mwezi Septemba 2022, Bodi mpya ya wakurugenzi ya CPB iliahidi kuleta mabadiliko makubwa katika taasisi hiyo na kuboresha utolewaji wa huduma na biashara ya nafaka Nchini Tanzania.
Katika kufanikisha lengo hilo, Bodi imekuwa ikifanya mabadaliko mbalimbali ya ki utendaji na...
Namfahamu huyu jamaa sababu nliunganishwa naye kufanya naye deal flani ya kupiga pesa. Si unajua ukiwa Serikalini inabidi ule na washika dau. Sekta binafsi. Mimi ndo maeneo yangu hayo.
Jama ni dereva na ndo mshauri mkuu wa Mmiliki wa Kampuni Mhindi mmoja hivi Town. Yaani jamaa ni mchawi...
Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi kuguza muundo wa idara, mfumo wa idara, sheria na kanuni za idara ili kuendana na ulimwengu mpya wa...
Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.
Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho.
Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo...
Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi
Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme .
Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli.
Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa.
Mkurugenzi hilo la kigoma...
Tarehe 12/08/2022 RAYMOND NJOFU BWIRE (28) Mkazi wa Kamguluki Mkoa wa Mara alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi anayejulikana kwa jina la TERESIA IRAFY.
BWIRE alimtaka Mkurugenzi IRAFY...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Said Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA). Bwana Suluo anachukua nafasi ya Bw. Gilliard W. Ngewe ambave amemaliza Mkataba wake.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Suluo...
Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums, Maxence Melo yupo live wa Wasafi FM kwenye kipindi Cha Mgahawa akihojiwa mambo mbalimbali lakini pia interview hii inarushwa live Youtube kwenye channel ya Wasafi media
===
Updates.
Melo: Nchi nyingi zinatamani kuwa na JamiiForums na tunaenda kufungua...
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose amejiuzulu nafasi hiyo ambapo atatizimiza miezi nane tangu mtangulizi wake, Hisham Hendi nae ajiuzulu kwenye nafasi hiyo. Sio ishara njema kwa kampuni kubwa kama Vodacom ambayo watu wanaota kuiongoza.
Mwaka jana Vodacom ilisitisha...
Naanza kwa kusema, poleni mliokosa na hongereni mlioona majina.
Ila tukisema tuangalie uhalisia, naweza sema TAKUKURU haijawatendea haki waliofanya usaili ule. To be fair, why wasingetoa majina na marks kila mmoja alizopata, huku wakiainisha cut-off points?
Tuachane na lile swala la baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.