Wakuu,
Kama soka hairuhusiwi kujichanganya na mambo ya siasa na serikali, sasa wawakilishi wa Simba na Yanga wanafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM?
Wakikilishi wa Yanga Eng. Hersi na mwenzake wameenda kwenye mkutano huu kwaajili ya nini? Kuwashawishi wapenzi wa soka kuipigia kura CCM...
Habari Wakuu,
Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025.
Nani kumrithi Kinana?
https://www.youtube.com/live/kGNDo4TvGpI?si=ud91is-_-iElNfhO
Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa...
Wakuu,
Baba Levo ndo ameshamwaga manyanga hivyo.
Akiwa anazungumza jana kwenye kipindi chake cha Jana Na Leo, Baba Levo amesema kuwa iwapo kwenye mkutano huu unaoendelea Dodoma ataepwa kadi ya CCM basi atamrudishia Zitto Kabwe kadi yake ya ACT Wazalendo.
Ni rasmi sasa wasanii wote isipokuwa...
Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!
Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye...
Wakuu
Kama mnavyoona picha hapo chini, Ingawa ni haki yao kushiriki, ni muhimu kujiuliza: Je, wasanii hawa wanapochangia katika majukwaa ya kisiasa wanachangia kwa lengo la kuleta mabadiliko ya Kimaendeleo au Wanatumika kama vifaa vya kuendeleza agenda za kisiasa za CCM?
===
Wasanii...
CCm ndio Serikali yenyewe
Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.
Walianza na Baiskeli, wakaja Pikipiki sasa ni Magari.
Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.
Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?
Tunasubiri Makali ya UKAWA.
SAMIA 3 -0 UKAWA
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Jokate Mwegelo ame-share video hii ya Mabasi (Yutong Bus) ya CCM katika msafara ukielekea Dodoma kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa unaotarajiwa kufanyika Tarehe 18-19 Januari, 2025.
Soma: CCM kufanya mkutano mkuu Januari...
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema...
✳️JOKATE AWAPA TANO VIJANA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MKUTANO MKUU CCM.
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na vijana wa chama hicho ya kuandaa ukumbi kwa...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma.
Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu...
abdulrahman kinana
ccm
dodoma
januari
kufanya
maalum
makamu mwenyekiti
mjumbe
mkutanomkutanomkuumkutanomkuuccmmkutanomkuu wa ccmmkuu
rais samia
samia suluhu
tarehe
wajumbe
Chukua corporate structure ambapo Mkutano Mkuu ni shareholders, NEC ni Board Members na CC ni Management. NEC ndio halmashauri kuu hiyo, so mkutano mkuu ni wawakilishi wa wanachama watano toka kila wilaya. Ndio chombo pekee kinachoweza kubariki mabadiliko makubwa ndani ya chama.....mabadiliko ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.