Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amempongeza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kusimamia misimamo yake hata pale inapokuwa haikubaliki na wengi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Novemba 1, 2026 akichapisha picha ya Lema na kuambatanisha na...