Nape amsifia Lema. Asema amekisaidia sana chama chake (CHADEMA)

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amempongeza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kusimamia misimamo yake hata pale inapokuwa haikubaliki na wengi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Novemba 1, 2026 akichapisha picha ya Lema na kuambatanisha na ujumbe "Wenzako wakiamua kukuelewa, umekisaidia sana chama chako. Lakini umeonyesha ukomavu, Mwanasiasa wa kweli husimamia anachokiamini hata kama kwa walati huo sio "popular"...sio hoja maarufu mbele za wengi"

Ujumbe huu unakuja ikiwa ni muda mchache mara baada ya Lema kuzungumza na vyombo vya habari zaidi ya masaa mawili akijibu tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake huku akitoa matamko kama iwapo zikithibitika atakuwa tayari kujiuzulu.

Chanzo: Jambo TV

LEMA.png

katika hatua nyingine viongozi kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) wameemdelea kumupongeza Godbles lema :
Kupitia Chapisho lake kwenye mtandao wa Instagram Kenani Kihongosi ameandika kuwa neno langu: tutunze taifa letu dhidi ya wahuni na wanaharakati, kwani hawana nia njema na taifa letu.

Mungu hakawii, wala hajibu kwa haraka za mwanadamu. sasa ukweli umeanza kufichuka, na kadiri siku zinavyosonga, kila jambo linapata nafasi yake. waliokuwa na uhakika wa kuficha ukweli, waanze kujiandaa kukutana nao.

lema 2.png
 
If one day you hear the Europeans praise me, know that I have betrayed you - Samora Machel
Halafu akaigeuza Mozambique kuwa nchi masikini duniani namba moja ikifuatiwa na tanzania na swahiba wake nyerere
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amempongeza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kusimamia misimamo yake hata pale inapokuwa haikubaliki na wengi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Novemba 1, 2026 akichapisha picha ya Lema na kuambatanisha na ujumbe "Wenzako wakiamua kukuelewa, umekisaidia sana chama chako. Lakini umeonyesha ukomavu, Mwanasiasa wa kweli husimamia anachokiamini hata kama kwa walati huo sio "popular"...sio hoja maarufu mbele za wengi"

Ujumbe huu unakuja ikiwa ni muda mchache mara baada ya Lema kuzungumza na vyombo vya habari zaidi ya masaa mawili akijibu tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake huku akitoa matamko kama iwapo zikithibitika atakuwa tayari kujiuzulu.

Chanzo : Jambo tv
Napeeèeee anasubiri Migulu Charlbury eti akae yeye khaaaa kazi sana
 
Bundi atua CDM ukiona ndugu yako akisifiwa sana na wachawi, basi shtuka na kutambua naye ni "member" mpya.

This is an alert call for CDM requires immediately prompt actions.
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amempongeza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kusimamia misimamo yake hata pale inapokuwa haikubaliki na wengi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Novemba 1, 2026 akichapisha picha ya Lema na kuambatanisha na ujumbe "Wenzako wakiamua kukuelewa, umekisaidia sana chama chako. Lakini umeonyesha ukomavu, Mwanasiasa wa kweli husimamia anachokiamini hata kama kwa walati huo sio "popular"...sio hoja maarufu mbele za wengi"

Ujumbe huu unakuja ikiwa ni muda mchache mara baada ya Lema kuzungumza na vyombo vya habari zaidi ya masaa mawili akijibu tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake huku akitoa matamko kama iwapo zikithibitika atakuwa tayari kujiuzulu.

Chanzo: Jambo TV

Ukiona adui yako anakusifia Rudi nyuma ujikague vizuri Kwasababu Kuna sehemu umekosea na yeye ananufaika sana.
Lema anatakiwa akaechini ajitafakari vizuri.
 
Halafu akaigeuza Mozambique kuwa nchi masikini duniani namba moja ikifuatiwa na tanzania na swahiba wake nyerere
Alafu akaja mwinyi akaifanya Tanzania nchi tajiri namba moja afrika akifuatiwa na ‘mama’ akaifungua hadi kua nchi namba moja kwa utajiri duniani
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amempongeza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kusimamia misimamo yake hata pale inapokuwa haikubaliki na wengi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Novemba 1, 2026 akichapisha picha ya Lema na kuambatanisha na ujumbe "Wenzako wakiamua kukuelewa, umekisaidia sana chama chako. Lakini umeonyesha ukomavu, Mwanasiasa wa kweli husimamia anachokiamini hata kama kwa walati huo sio "popular"...sio hoja maarufu mbele za wengi"

Ujumbe huu unakuja ikiwa ni muda mchache mara baada ya Lema kuzungumza na vyombo vya habari zaidi ya masaa mawili akijibu tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake huku akitoa matamko kama iwapo zikithibitika atakuwa tayari kujiuzulu.

Chanzo: Jambo TV

Nape msenge sana. Rinafiki likubwa. We subiri siku yako, itakuja tu. Wewe umeonesha ukomavu gani kwenye liCCM. Wanaume wazima na pumbu zenu namuinamia Bi Eda
 
Back
Top Bottom