mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

    Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu. Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote. Hali ilikuwa hivi
  2. Bunge la 12: Serikali yasema Wakazi wa Dar watasambaziwa huduma ya mabomba ya gesi

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 3, leo Aprili 4, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=fQ35KHplqx4 NAIBU WAZIRI: SERIKALI INA MKAKATI WA KUPELEKA GESI KATIKA NYUMBA 10,000 ZA DAR DODOMA: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia...
  3. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI TOLEO LA 2022 IBARA YA 102 Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa zitakuwa zifuatazo:- KIFUNGU CHA 12 Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi KIFUNGU CHA 21 Kumwachisha au kumfukuza Uongozi kiongozi...
  4. Pre GE2025 Mkutano Mkuu wa Chadema Arumeru Magharibi wafana

    Ni katika mikakati ya Chama hicho kujiweka sawa kwa ajili ya chaguzi zijazo Taarifa kamili hii hapa
  5. Mbunge Aisha Ulenge akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi

    MHE. ENG. AISHA ULENGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 148 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika jijini Geneva...
  6. L

    Wajumbe wa mkutano wa UNEA-6 waipongeza China kwa kupeleka nishati safi katika nchi zinazoendelea na kulinda mazingira ya dunia

    Baada ya maandalizi ya miezi kadhaa na mikutano rasmi iliyofanyika kwa siku tano, kikao cha sita cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA-6) kilichofanyika mjini Nairobi, Kenya, hatimaye kimefikia tamati. Kikao hicho kilichoanza tarehe 26 Februari hadi Machi 1, kilipitisha maazimio 15...
  7. J

    JamiiForums ilisherehekea siku ya Wanawake Dunia kwa Mkutano na Wanawake ambao ni Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni

    Video hii inaonesha kwa ufupi Siku hii ilivyokuwa Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani JamiiForums iliandaa mkutatano na Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni ambao ni Wanawake. Katika mkutano huu Wadau hawa walijadili changamoto mbalimbali wanazopitia Waandaaji hao wa Maudhui Mtandaoni...
  8. Mkutano wa kisekta wa ushirikiano katika Sekta ya Ulinzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki pamoja na mawaziri wenzake wa Ulinzi toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika mkutano wa Kisekta wa Ushirikiano katika sekta ya Ulinzi, tarehe 8 Machi, 2024.
  9. J

    JamiiForums Yaadhimisha Siku Ya Mwanamke Duniani kwa Mkutano na Wabunifu wa Maudhui ya Mtandaoni

    Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
  10. J

    Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa UWT, kuongea na Wanahabari

    CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam...
  11. Andrew Nyerere pichani akihudhuria mkutano wa Chadema Arusha

    Pichani ni Andrew Nyerere (mwenye mvi) mtoto wa Rais wa kwanza wa Tanzania, akiwa katika mkutano wa Chadema Sanawari, Arusha.
  12. L

    Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  13. Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  14. Philip Basiimire: Nape alisema walipoondoa VAT kwenye vifaa vya digitali, bei za vifaa vya digitali havikushuka bei

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anashiriki akiwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano wa 'Future Ready Summit ambao ni tukio la kila Mwaka linalowakutanisha Wadau mbalimbali wa Teknolojia na Washirika wa Kimkakati ili kutafakari suluhisho katika kuchochea maendeleo ya Teknolojia. Waziri Mkuu, ameongozana na...
  15. Dkt. Mollel: Matumizi holela ya vidonge ya P2 ni hatari kwa afya

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza pale dawa hizo zinapotumika bila utaratibu ikiwemo mvurugiko wa hedhi. Dkt. Mollel amesema hayo leo Jijini Dodoma kwa...
  16. Dkt. Shelukindo aongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia ya SADC

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia (Inter-State Politics and Diplomacy Committee — ISPDC) ya SADC uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 09 Februari...
  17. Kassim Majaliwa: Hadi kufikia kipindi cha Ramadhan sukari itakuwepo nchini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema jitihada kubwa zinafanyika ili kumaliza tatizo la uhaba wa sukari lililopo nchini. "Ni kweli tuna upungufu wa sukari nchini na umetokana na kuwepo kwa mvua nyingi ambazo maeneo yetu ya mashamba ya miwa inayozalisha sukari maji yamejaa kiasi cha kwamba wale...
  18. Jumanne Sagini: Serikali inafuatilia kwa ukaribu matukio ya utekaji yanayoendelea Jijini Dar es Salaam

    Mbunge wa Nyang’hwale, Hussein Amar ameihoji Serikali ina mpango gani wa haraka kuzuia utekaji unaoendelea katika Jiji la Dar es Salaam. Miongoni mwa matukio matano ya watu kutekwa na kutoweka katika mazingira ya kutatanisha yalitokea mwaka 2023, limo la kutekwa mfanyabiashara Mussa Mziba (37)...
  19. Dkt. Mollel: Gharama za kutibu wagonjwa wa Kisukari ni Tsh. Bilioni 300 kwa mwaka

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024. https://www.youtube.com/live/SYTvPYLNpNk?si=ZxFlRBcsLo7LLqGU Gharama ya kutibu wagonjwa wa sukari kwa mwaka ni TZS bilioni 300, na gharama za kutibu wagonjwa wote wa tezi dume ni TZS bilioni 46.42, hivyo...
  20. Serengeti: Mkutano Maalum wa CHADEMA Watikisa

    Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL) sasa hapa chini ni Mkutano Maalum wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti , hebu jionee mwenyewe .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…