Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi zaidi duniani), utakofanyika katika mji wa Kazan-Urusi mwezi Oktoba mwaka huu.
Mualiko huu unaweza...
#OdoUmmyJimboni #SamiaMitanoTena
----
MBUNGE UMMY AFANYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA NGUVUMALI.
Mbunge wa Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu tarehe 27/07/2024 amefanya Mkutano wa hadhara kata ya Nguvumali kwa ajili ya kueleza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha 2020 - 2025...
Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika tarehe 24 Julai, 2024 jijini Dar es Salaam.
Hati zilizosainiwa katika kikao hicho zinazojumuisha nyanja za...
Chief anasema, wao ndio walinzi wa hii nchi. wanasema wao wanasali kwenye misitu. nimeamin wazungu walikua sahihi waliposema utamaduni wa kiafrica ni wa kishenzi.
"Tunatarajia sana matunda muhimu ya Mkutano wa 3 wa Kamati Kuu ya CPC, ambayo sio tu yana athari kwa maendeleo ya China, bali pia yatafaidisha Tanzania na nchi nyingine duniani." Haya yalisemwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
Ni Msando na Lemma.
Hii ni hatua ya kupongezwa kwa Godbless Lemma, amekiri kwamba siasa sio uadui. Hii pia aliisema Mbowe alipokuwa katika kikao Arusha ambapo alihimiza 4R za Samia za kusameheana na kushirikiana.
Mtu pekee ambaye anaendesha siasa za chuki ndani ya Chadema ni makamu, ambapo...
MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI YATAJWA
MABADILIKO makubwa ya Baraza la Mawaziri yanatabiriwa kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wowote baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Bunge unaofikia ukingoni mwishoni mwa wiki hii.
Mabadiliko hayo yanatabiriwa kuwagusa mawaziri ambao kasi ya...
Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa wakoloni katika bara la Afrika sisi tulikuwa wamoja kwa kushirikiana katika kila kitu kilicho husiana na Ubuntu wetu kwa kutokuwekeana mipaka katika bara letu. Kwa mfano wangoni chimbuko lao ni South Africa lakini walihama kutoka katika nchi yao kuja mpaka...
Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo.
Ajenda kuu ilikuwa China.
Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China:
1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
Itoshe kusema Mangungu anamizizi iliyo jikita kisawa sawa hivyo wanasimba mjiandae kwa maumivu makali msimu ujao mchangue moja wakati wa match akiingia uwanjani azomewe au apigwe mawe au msuse kuingia uwanjani ni hayo tu.
Muwe na usiku mwema
Serikali inajipiga kifua kwamba katika Uongozi wa MAMA SAMIA RAIS WA JMT ,Demokrasia imestawi.
Kiukweli usawa wa uendeshaji wa shughuli za kisiasa unabinywa chini kwa chini karibia kila Kona ya Nchi yetu.
Kesho Jumanne Tarehe 11/6/2024 kutakuwa na Mkutano wa MHESHIMIWA TUNDU LISSU (MAKAMU/KITI...
https://www.youtube.com/watch?v=vpTWLYk9aeU
Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa fedha za umma
Mbunge Halima Mdee amehoji uamuzi wa Serikali kuwa na mpango wa kuuboresha Uwanja wa CCM Kirumba kwa fedha za umma licha ya kuwa Uwanja huo unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi...
Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa huduma za benki zinazovuka mipaka ya nchi za Afrika ili kuchochea mageuzi ya uchumi barani Afrika. Mjadala huo rasmi umefanyika...
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty...
https://www.youtube.com/watch?v=k-4gMGsHRAk
SERIKALI YAIAGIZA TCRA KUFATILIA WANAOUZA VOCHA TOFAUTI NA BEI ELEKEZI
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (MB), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa ameongoza kikao kazi cha ujumbe wa Tanzania katika ofisi ya balozi na mwakilishi wa wakudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.