Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
Kutoka Geita.
Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji.
Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe leo anafanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kisesa mkutano unaotajwa kusubiriwa na hamu kubwa hasa baada ya kutangaza kuwanyima huduma za pembejeo za kilimo kama wananchi hao wataendelea kuungana na mbunge wao Luhaga Mpina kuwa kulaumu wakulima kuuziwa dawa...
Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
Wanakumbi.
Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video .
Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya.
Hamas wamemfanya anateteka hovyo...
Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024.
Rais Samia...
Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani.
Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025 Serikali imetenga shilingi Bilioni 31 ili kuiwezesha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kushughulikia changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo.
Amesema fedha hizo zitaiwezesha TARI kufanya ukarabati na ujenzi wa...
Nimeona watu wakijenga hoja kwamba “huyu kijana ameongea vizuri BILA MATUSI, KEJELI, WALA LUGHA YA KUUDHI” na kwa namna fulani wanawanyooshea kidole wale wanaotumia “LUGHA KALI” kuwasilisha malalamiko yao Tanzania.
Kwanza niseme ni privilege ya hali ya juu kuwa na nafasi ya kusikia UKALI WA...
MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE
Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini
📍Dar es Salaam.
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024.
Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
Mimi ni Mwanahisa wa Vodacom na nimepata taarifa kuwa mkutano mkuu wa Wanahisa wa Vodacom utafanyika tarehe 11 Septemba, 2024 kielekroniki. Binafsi nina hakika Vodacom inafanya biashara kubwa hata kuzidi baadhi ya Mabenki lakini kinachosikitisha ni gawio walilotangaza ya Tshs. 11.93 kwa kila...
Vitisho vya aina yoyote ile na Lobbying yoyote ile kwenye Media kuelekea Press conference ya Mhe. Freeman Mbowe @freemanmbowetz havina nafasi kwenye Uhuru wa Habari.
Kwani Freeman Mbowe hapaswi kupewa nafasi ya kusikika na Watanzania kupitia vyombo vya habari? Kama kurusha Matangazo ya Mkutano...
Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo
Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera.
Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini...
Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024 unatarajiwa kufanyika hapa Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6, na utakuwa na kaulimbiu ya “Kuungana kwa mikono Kuendeleza mambo ya kisasa na Kujenga Jumuiya ya Juu ya China na Afrika yenye Mustakabali wa Pamoja.” Kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro
Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa kwenye Ununuzi wa Umma ili Kudhibiti Rushwa na Ubadhirigu, Kuhuisha Ununuzi wa Kielektroniki, Ubia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.