mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkutano Maalum wa Vyama vya Siasa, Septemba 13, 2023

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Mwisho ya Mkutano Maalum wa wa Siku 3 wa Vyama vya Siasa na Wadau ambapo wamejadili Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi, Hali ya Demokrasia na Siasa kwa ujumla Nchini Katika Siku hii...
  2. Abdul Nondo: TAMISEMI haipaswi kusimamia uchaguzi, haitotenda haki

    Fuatilia yanayojiri kwenye Siku ya pili ya Mkutano Maalumu wa vyama vya Siasa, leo Septemba 12, 2023. https://www.youtube.com/live/gluDmlaR35M?si=wM7TlyCrrBFbEHtg === ABDUL NONDO, ACT Mpaka leo msimamo wa Serikali ni kana kwamba uchaguzi wa Serikali za miktaa unakwenda kusimamiwa na TAMISEMI...
  3. Mkutano wa mazingira wa ITAC 2023 kufanyika Arusha, kushirikisha Nchi sita

    Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (International Transparency and Accountability Conference - ITAC) unaotarajiwa kufanyika Septemba 28 na 29, 2023 wenye lengo la kutoa elimu na kuibuka utatuzi wa changamoto za mazingira unatarajiwa kushirikisha Wadau 300 kutoka Nchi sita...
  4. S

    Mkutano wa G20 Waunga Mkono Kujengwa Reli ya Kutoka DRC na Zambia Mpaka Angola

    Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola. ===== African Union now a permanent G20 member The G20 welcomed the African Union as a member at their annual summit Saturday. There was...
  5. Kishindo cha Lissu Ngorongoro! Mkutano wa Kuvutia na Mapokezi ya Kishujaa

    https://youtu.be/lkdsG7HDqiU = = = Video source | mwanzoTV
  6. Serikali: Hakuna wanachodai Wastaafu wa Jumuia ya Afrika Mashariki, wameshalipwa na zoezi limeshafungwa

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 9, leo Septemba 8, 2023. https://www.youtube.com/live/LESXSKjjWGg?si=4iBgpLPzLXEouZLk https://www.youtube.com/watch?v=-LGuLfNhFWE Mbunge Hawa Subira Mwaifunga ameuliza swali Bungeni; Je, Serikali ina mpango gani kulipa...
  7. Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia suala la uhaba wa mafuta nchini

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq- Ratiba: Hati za kuwasilishwa Mezani Maswali kwa Waziri Mkuu Maswali ya kawaida Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu...
  8. Mkutano wa Kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Hai

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe tarehe 05 Septemba, 2023 katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Hai Aliwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Makamu Mwenyekiti wa (CCM) Bara Ndugu Abdulrahman Kinana Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Hai ulilenga sana...
  9. Kuelekea Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Waziri Bashe aelezea msimamo wa Serikali kuhusu GMO

    Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam ukishirikisha Wadau mbalimbali wa Kilimo, leo Jumapili Septemba 3, 2023. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na...
  10. B

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Mkutano na Wahariri kuhusu Mkutano mkubwa wa Mifumo ya Chakula Afrika

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus leo Jumapili Septemba 03, 2023 kuanzia Saa 4 asubuhi hii anakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari ili kuzungumzia Mkutano mkubwa wa Kimataifa unaohusu mifumo ya chakula Afrika, mkutano unaoanza keshokutwa Jumanne Septemba 05, 2023 katika...
  11. M

    Mkutano wa tathmini wa Jeshi letu la Polisi

    Za asubuhi wanaJF, Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7. Kikao kitafunguliwa na Mhe. Rais Samia. Wananchi ni wadau wakubwa wa utendaji wa polisi hivyo...
  12. Kikwete: Mkutano wa Taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) utafanyika Afrika kwa mara ya kwanza

    Rais Mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema anajivunia kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza bodi ya wakurugenzi ya taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), ambalo liilianzishwa miaka 20 iliyopita. Kikwete ambaye ameanza kuongoza bodi hiyo mwaka 2021 amesema baada ya kumaliza muda wake...
  13. Kinana Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Wilaya ya Hai

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdulrhamn Omar Kinana anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Hai ambao Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe atawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM kuanzia Oktoba 2020 - 2023. Mkutano wa CCM Wilaya ya...
  14. Ratiba ya mkutano wa kumi na mbili wa bunge tarehe 29 Agosti – 08 Septemba, 2023

  15. Gumzo Hotuba ya Rais Samia Mkutano wa BRICS

    Ushiriki wa Rais Samian Suluhu Hassan na kutoa hotuba katika mkutano wa Kimataifa wa BRICS uliofanyika mini Johannesburg, Afrika Kusini, umewaibua wachumi wamesema ambao mkutano huo una tija kubwa kwa Tanzania katika kumarisha diplomasia ya uchumi, kuipa heshima nchi kimataifa. Katika mkutano...
  16. B

    Wasaidizi wa Rais Samia: Mkutano wa BRICS nyie Mnamwandalia Rais Hotuba ya North-South Geopolitics

    Asalam. Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi, Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya...
  17. D

    Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

    Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini...
  18. Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
  19. Rais Samia ashiriki Mkutano wa BRICS Nchini Afrika Kusini

    Mkutano wa kilele wa BRICS umeingia siku ya 3 huko Johanesburg, Afrika Kusini. Nchi wanachama zinapania kuimarisha ushawishi kuukabili muundo wa uchumi wa dunia unaoongozwa na nchi za Magharibi. Viongozi wa muungano wa BRICSwamegeukia ajenda kuu ya mkutano wao, siku moja baada ya Rais wa Urusi...
  20. Rais Samia Kushiriki Mkutano wa BRICS, Afrika Kusini

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi na viongozi mbalimbali waandamizi wa Ubalozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…