WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU!
Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania!
Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendelea katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha na Mhubiri maarufu toka Kenya Nabii Ezekiel Odero umepigwa marufuku na serikali mchana huu.
Wakiwa katikati ya mahubiri ghafla ilitangazwa kuwa ni marufuku kuendelea na maombi hayo jambo...
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF) unaotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu ambapo marais zaidi ya 15 wamealikwa kushiriki.
Katika kongamano hilo linalofanyika kwa mara ya nchini, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dk. Samia Suluhu...
Wakuu,
Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa.
Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World...
Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Songwe Kata ya Magamba na kufanya Mkutano wa Hadhara na kuchangia kikundi vya wanawake wajasiriamali katika shughuli zao za kiuchumi.
Mhe. Juliana Shonza akiwa Kata ya Magamba Wilaya ya...
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi.
Ni kuhusu suala la DP World.
===
===
MKUTANO UMEANZA
Askofu Mwamakula anazungumza...
askofu mwamakula
conference
dr slaa
mdude
mdude nyagali
mjadala dp world
mkutano
muhimu
nukuu
nyagali
press conference
slaa
waandishi
waandishi wa habari
Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023
Tanga mnatumika
Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.
MHE. JAFARI CHEGE WAMBURA AFANYA ZIARA NA MKUTANO KATIKA KATA YA KITEMBE
Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Chege Wambura ameanza ziara rasmi na kufanya Mkutano wa kwanza katika Kata ya Kitembe Wilaya ya Rorya
"Wakati nawaomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Rorya mwaka 2020...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa Gran Melia jijini Arusha leo tarehe 3 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE.
"Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana"
"Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani"
"Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna...
MKUTANO WA HADHARA
CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana.
Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na...
Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga...
MADINI MKAKATI YAJADILIWA MKUTANO WA 9 WA EITI
Mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Kimataifa ya Uwazi na Uwajibikaji (EITI – Extractive Industry Transparency Initiative) uliofanyika Jijini Dakar nchini Senegal kuanzia tarehe 13 -14 Juni 2023 umejadili fursa mbalimbali kwenye Sekta ya Madini...
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023.
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
Kama...
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja.
Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu...
ALAT ni Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa...Association of Local Authorities of Tanzania
Benki ya NMB imefanikiwa kuchangia kiasi cha Sh. 200 milioni kwa ajili ya kufanikisha maandalizi ya mkutano mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALAT) unaotarajiwa kufanyika kwa siku...
SHINA NO 7 - KISING’A -IRINGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 30 Mei 2023 amepokelewa na wananchi pamoja na wanachama wa CCM kata ya Kising’a Jimbo la Isimani Shina No 7 kwa Balozi Rose John
Pamoja na mambo mengine Ndg Chongolo ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa...
Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia!
Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10. CHADEMA wao wanafanya Mkutano wa mkoa mzima na helkopita juu lakini Mkutano wa Kijiji wa CCM ni balaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.