Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuanza Mkutano wa 11 ambao ni wa Bajeti kuanzia Aprili 4, hadi Juni 30, 2023.
Katika Mkutano huo, Maswali mbalimbali yataulizwa pamoja na Hotuba za Bajeti za Wizara Mbalimbali.
Pia, mijadala kuhusu taarifa ya hali ya uchumi, Mjadala...
Inashangaza sana nchi za kiafrika Bado tunaishi Karne ya kwanza! Rais kutimiza mwaka Mmoja madarakani sio hoja ya kufuja pesa za walipa Kodi kwa kuandaa Mikutano Kila mkoa na kukodi wasanii kwa mamilioni ya pesa ili kupongeza kutimiza miaka miwili.
Ziko njia nyingi zinazoweza kutumika...
Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa Jijini Kinshasa tarehe 19 Machi 2023, huku agenda za kujikwamua kiuchumi katika kanda hiyo ya Kusini mwa Afrika zikipewa kipaumbele.
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaotathmini utekelezaji wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
afrika
barani afrika
chakula
hongera
ikulu
kilimo
kuhusu
mama samia
mkubwa
mkutano
msimamo
rais samia
samia
sana
siku
taifa
tanzania
tarehe
vizuri
wako
MBUNGE MHE. ENG. MWANAISHA ULENGE ATOA MCHANGO WAKE KATIKA MKUTANO WA 146 IPU
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ashiriki katika Mkutano wa 146 kwenye Bunge la Dunia kupitia Jukwaa la Wabunge Vijana katika Umoja wa Mabunge ya Dunia.
Mnamo tarehe...
Bwanku M Bwanku.
Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu.
Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano huo Ikulu, Dar es Salaam, hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa...
WAKILI STEPHEN BYABATO(MB) MGENI RASMI MKUTANO WA CCM BUKOBA MJINI.
Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato tarehe 12 Machi, 2023 alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukoba Mjini.
Kupitia Kikao Hicho Mhe...
MHE. ENG. MWANAISHA ULENGE ASHIRIKI MKUTANO WA 146 WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI MANAMA, BAHRAIN
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ni miongoni mwa wabunge wa Tanzania walioshiriki Mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoongozwa na...
NAIBU WAZIRI BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI NCHINI NAMIBIA
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano kati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Namibia uliofanyika Jijini Windhoek, Namibia tarehe 10 Machi 2023.
Pamoja na mambo...
Hali hii ya sintofahamu ilitokea siku ya leo katika ukumbi wa Kuringe Moshi, Ambapo Umeme ulikatika ghafla na kuleta taharuki ya kiusalama Ukumbini.
Ni Vyema Uongozi wa juu wa TANESCO uwe unafanya maandalizi ya ukarabati na kuhakikisha umeme unakuwepo wakati wote pindi Kiongozi Mkuu wa Serikali...
Picha inajieleza ....
======
Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiendelea na maandalizi kwa ajili ya kukuletea mbashara matangazo ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyoandaliwa na baraza la wanawake la chama hicho...
Kuna kitu hakiko sawa na kinaenda kutolewa ufafanuzi muda mfupi ujao.
Nadhani hii haikuwepo katika ratiba yake ila ndugu Godbless Lema anaitisha mkutano wa hadhara wa dharula, ngoja tuone na mlio karibu msisite kutoa updates.
Kupitia ukurasa wake wa tweeter Lema amesema;
"Kamanda John Heche...
Kuna tetesi kwamba Chadema wameamua kuweka "silaha chini", na muda si mrefu watatangaza msamaha kwa Mdee na wenzake.
Mkutano mkubwa wa hadhara unapangwa ili kutangaza msamaha huo kwa msingi huohuo wa maridhiano, na wao wajikoshe kwamba hata kwao Kuna wema (charity begins at home).
Itakumbukwa...
MHE. STEPHEN BYABATO AWAHAMASISHWA WADAU WA NISHATI KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA PETROLI YA AFRIKA MASHARIKI
Wadau mbalimbali katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia nchini wamehamasishwa kushiriki katika Mkutano na Maonesho ya 10 Petroli yanayotarajiwa kufanyika nchini Uganda mwezi Mei mwaka...
Kuna gari la matangazo kwa wiki sasa limekuwa likipita mitaani kutangaza mkutano wa bwana Josephat gwajima utakaofanyika Mbalizi Mbeya.
Moja ya maneno yanayotumiwa na mtangazaji kuwavuta watu kwenye mkutano huo ni kusema "Misukule itatolewa" I will be there kuona hiyo misukule ya kupangwa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Arusha kumekucha upya baada ya Godbless Lema kutua nchini na kulitikisa jiji lolote la Arusha kwa kishindo cha mapokezi, shamrashara mitaani na mkutano mkubwa wa hadhara.
Sasa makundi mbalimbali ya wanaCCM yameamua kupiga kelele kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) Jijini Arusha, leo tarehe 04 Machi, 2023
RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA
Yapo...
Wanadiplomasia wa Marekani na Urusi wamezungumza kwa ufupi pembezoni mwa mkutano wa mawaziri wa mambo ya kigeni kutoka kundi la nchi 20 zilizopiga hatua kiviwanda G20, mkutano ulioshindwa kutoka na tamko la pamoja.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken na mwenzake wa Urusi Sergei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.