Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha leo tarehe 02 Machi, 2023
RAIS SAMIA
“Kutofanyika kwa...
Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwa Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa sita mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo, na pia ni mara yake ya kwanza kutuma baada ya kuchaguliwa tena kuwa katibu mkuu wa Kamati Kuu ya...
Tarehe 19 Februari 2023 chama cha ACT Wazalendo walifanya mkutano wao wa Kwanza ambapo viongozi wake wa kitaifa walishiriki na kuongea na wananchi.
Cheche zilianza kuonekana pale aliposimama Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar ambape pia ni makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar alipoelezea umma...
Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.
Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.
Hiki chama kimeshajifia.
Leo yule kibaraka wa CCM alikuwa na mkutano wa hadhara hapa dar, je alikuwa na jipya lolote? CCM walikuwa wanamjazia watu ili ionekane bado yuko hai kisiasa na chama chake. Kwa wale walihudhuria huo mkutano hebu watupe nini aliongea, na mahudhurio yalikuwaje?
THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI:
Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi Februari 11, 2023 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara ulioandaliwa na Wilaya...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 9, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 8
Mbunge wa Nyasa, Mhandisi, Stellah Manyanya amebainisha kuwa Hospitali ya Kanda ya Kusini iliyopo Mkoani Mtwara, haina huduma muhimu hivyo Wananchi kulazimika kutembea umbali wa hadi KiloMita 1,200, Miaka 2...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 7, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 6
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imebaini Miamala kufutwa au baadhi ya tarakimu kurekebishwa bila idhini ya Maofisa Masuhuli au bila kuwapo kwa nyaraka za Uthibitisho wa uhalali wa...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 6, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 10, Kikao cha 5
VITAMBULISHO VYA NIDA NI ASILIMIA 68 TU
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Vita Rashid Kawawa akisoma Taarifa ya kamati kwa kipindi cha Februari 2022 hadi 2023, amesema...
Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa.
MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane.
Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 3, 2023 Kwenye Bunge la 10, Kikao cha 4
Serikali yasema Vijana 1,732,509 hawana ajira
Akizungumza Bungeni, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Paschal Katambi amesema:
“Utafiti wa watu wenye uwezo wa...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 2, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 3
WAZIRI MKUU: WANAOREKODI MATUKIO NA KUYARUSHA MITANDAONI WAACHE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema “Nitoe wito kwa jamii hasa wale wanaonasa matukio na kuyarusha kwenye mitandao kutofanya hivyo kwa kuwa...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 1, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 2
RATIBA YA LEO
Dua
Hati za kuwasilisha mezani
Taarifa za kamati
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii
Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira
MWONGOZO
Kuhusu uamzi wa NECTA kutokutangaza orodha ya Shule 10...
CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini
Mkutano mkuu wa hadhara
Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba.
Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni.
#ChamaMakini
#ViongoziMakini
Hello wakuu Leo vyombo vyote vya habari, wametumia nafasi Yao vizur kujulisha wananchi Juu ya ujio, Mapokezi ya Makamu mwemyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Pamoja na Mkutano uliofanyika huko Temeke.
Lakini Cha kusikitisha Clouds Media imeungana na tbc hawakuipa umuhimu habari hiyo.
Katika kurasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika - Dakar chini Senegal leo tarehe 25 Januari, 2023
Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano,
Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.