mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  2. happyxxx

    Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

    Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu. Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro. Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali. Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
  3. Makonde plateu

    Nimepata mwanamke kwenye mkutano wa CHADEMA

    Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya furaha yangu. Kiukweli nimempata mwanamke kwenye mkutano wa CHADEMA, kwahiyo leo itakuwa full raha bhahahahahah!
  4. K

    Mkutano wa CHADEMA: Pambalu aomba waliokamatwa kwa kesi za kuuza madawa ya kulevya waachiwe huru kuendelea na kazi zao CHADEMA

    CHADEMA leo imeanza mikutano yake ya hadhara jijini Mwanza. Miongoni mwa viongozi waliopewa nafasi kuzungumza ni Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu ameomba mwenyekiti wa chama hiko apeleke hoja kwa Mhe. Rais Samia Suluhu kuwa waliokamata kwa kesi za kuuza madawa ya kulevya waachiwe huru...
  5. M

    Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  6. B

    Picha: Kinachoendelea Furahisha mkutano wa CHADEMA kwa wana Mwanza

    Picha: Kinachoendelea FURAHISHA mkutano wa CHADEMA kwa Wana MWANZA Karibu,kwa updates zaidi! Mwanza ndio kumeanza kupambazuka kwa mbali, watu wakifanya pirika zao mapema,ili kuwahi mkutano huu wa kihistoria!
  7. Roving Journalist

    Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi

    Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
  9. B

    Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
  10. T

    CHADEMA waje na ajenda gani kwenye mkutano wao wa kwanza baada ya kutoka kifungoni?

    Kama ilivyosemwa kwamba chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani hapa nchini kitaanza mikutano yake ya hadhara hivi karibuni, kutokana na hali ya mambo ilivyo Kwa sasa na mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyotokea baina ya utawala wa kikwete magufuli na hatimae Samia, ni hoja zipi unadhani zitaleta...
  11. chiembe

    John Heche ashangaa wajumbe wachache kuhudhuria mkutano alioalikwa akiwa na John Mnyika

    John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000. Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini...
  12. L

    Mkutano wa vyombo visivyo na rubani wafunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China

    Mkutano wa Tano wa Vyombo visivyo na Rubani umefunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Mkutano huo ulifadhiliwa kwa pamoja na serikali ya mji wa Zhuhai, shirika la anga la China, na Kituo cha Utumiaji na Udhibiti cha UAV cha Chuo cha Sayansi cha China. Katika mkutano huo...
  13. B

    Patrobas Katambi akumbana na aibu nzito, wananchi washindwa kujitokeza mkutanoni

    Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea. Katambi ambaye inafahamika aliingia kwenye ubunge huo kimagumashi baada ya mshindi wa kwanza kwenye kura za maoni za CCM, Stephen Masele...
  14. saidoo25

    Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

    Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma. Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
  15. L

    Kuna chochote cha kutarajia kwenye mkutano wa kilele kati ya Marekani na Afrika?

    Mkutano wa kilele kati ya Marekani na Afrika umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15 Desemba 2022, ikiwa ni moja ya juhudi za Marekani kutekeleza sera yake ya kurudisha uwepo wake barani Afrika, baada ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump kuiweka Afrika pembeni kwenye sera za...
  16. Mystery

    Je "kuropoka" Kwa Mzee Yusufu Makamba kwenye Mkutano Mkuu wa CCM uliopita, kunaweza kuleta ukombozi Kwa Taifa letu?

    Mzee wetu Ysufu Makamba, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM alitoa kauli yenye ukakasi mkubwa Sana kwenye Mkutano Mkuu uliopita, kuwa eti viongozi wema huwa hawafi na akatolea mfano wa JK na Kinana, kuwa Bado wako hai hadi Leo, Kwa kuwa wamewatendea mema watanzania! Ingawa kauli hiyo Rais wetu Dkt...
  17. R

    Sijawahi kuona Mkutano Mkuu CCM( NEC) uliofeli kama huu

    Hakuna haja ya kuongea sana. Ktk historia ya siasa za CCM kuna jambo limezuka na jambo hilo sio la kawaida. Ccm imebaki inaendesha mikutano ya ndani yenye vitisho vikali mno. Cha ajabu zaidi ni pale wanapotishana wao kwao na kutukanana wazi wazi. Mkutano ulijaa matusi, kejeli, hasira...
  18. Determinantor

    Mkutano wa CCM ulijaa Vijembe, Mizaha, na Rushwa

    Kwa mtazamo Wangu CCM wanahitaji kujitafakari pakubwa saaaana. Na kama Wana CCM hawataamka na kutetea Chama Cha Mambuzi, wataendelea kudharaulika. Huwezi kuandaa mkutano wa mabilioni huku ukiacha mkutano huo utawaliwe na Vijembe, Mizaha na Rushwa. Je, mlienda Dodoma kusimangana? Mnaanza...
  19. Gaddaf i06

    Niliwahi kutoa wazo kama hili kwenye mkutano wa kijiji, watu wakaishi kucheka. Sasa natoa mfano!

    Habari za wakati huu expert mwenzangu[emoji4] siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts" isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi[emoji23][emoji119] ..mnaokaa karibu na bahari, maziwa na mito, jamani mungu awape macho, hiyo ni fursa. ninaishi sehemu ambayo upatikanaji wa maji ni...
  20. S

    Job Ndugai ahudhuria mkutano mkuu wa CCM kinyonge. He is haunted by the spirit of vindictiveness

    Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai). Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake. Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko...
Back
Top Bottom