Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education) - GPE) ameshiriki katika Mkutano wa Mageuzi katika Elimu uliondaliwa na Umoja wa Mataifa, tarehe 19 Septemba, 2022 Jijini New York, Marekani...