..Rais Samia Suluhu adhihirishe Uamiri Jeshi Mkuu wake. Huu ni mtihani kwake.
..Hawa watu hawamkomoi Tundu Lissu, bali wanamchafua Raisi, Serikali, na nchi kwa ujumla.
..Haiingii akili Magereza wakaidi hukumu ya Mahakama halafu mabosi wao hawachukui hatua.
..Wote waliohusika na ukaidi huo...
Wakili Mwandamizi na wakili wa kujitegemea kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) William Maduhu, amesema mahakama ilibaini kuwepo kwa tofauti katika namna mawakili wa serikali na mawakili wa kujitegemea walivyoshughulikiwa walipokwenda kutembelea mahabusu gerezani, akieleza kuwa...
Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
Mkuu wa Gereza la Ukonga, Bwana Andrew Shabani Tamanjiro, amedai kuwa alipofika Ukonga Prison hakukuta utaratibu wa ndugu wa Mwenyekiti kumtembelea gerezani siku ya Jumamosi na wanachama kumtembelea siku ya Jumapili.
Aidha, amesema kuwa hakujua wala hakukuta mazingira ambayo Mwenyekiti Tundu...