Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mkuu wa Gereza la Ukonga, Bwana Andrew Shabani Tamanjiro, amedai kuwa alipofika Ukonga Prison hakukuta utaratibu wa ndugu wa Mwenyekiti kumtembelea gerezani siku ya Jumamosi na wanachama kumtembelea siku ya Jumapili.
Aidha, amesema kuwa hakujua wala hakukuta mazingira ambayo Mwenyekiti Tundu Lissu alikuwa analala katika special wing pamoja na wafungwa zaidi ya 100 walioko kwenye orodha ya hukumu ya kifo (Death Row).
Kauli hizi zimeibua maswali mengi kuhusu uongozi na uwajibikaji ndani ya taasisi za umma.Mimi nashangazwa kuona kiongozi wa taasisi nyeti akidai kutokuwa na taarifa kuhusu taratibu na mazingira muhimu yanayomhusu mfungwa aliyeko chini ya usimamizi wa gereza ambalo yeye ni mkuu.
Itoshe kusema kuwa Bwana Andrew leo umeivua serikali nguo.(You have exposed the gorvernment and shown the country you are incompetent to be in incharge of Ukonga Prison.)Nchi hii inahitaji viongozi waadilifu na sio waongo waongo na pia nchi iongozwe kwa kuzingatia Utawala wa sheria.