Wakuu!
Ni mimi tu au nyie mmeona? Hivi sasa Polisi wameendelea kupokea vitu vingi sana, kama magari, kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi, jambo linaibua maswali mengi, kwanini sasa hivi?
Je, ni kwa nia njema au kuna ajenda ya kisiasa nyuma yake?
====
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania...
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo...