GE2025 Mkuu wa Majeshi amshukuru Rais Samia kwa kuunga mkono uboreshaji wa miundo mbinu ya mafunzo Jeshini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Wakuu!

Ni mimi tu au nyie mmeona? Hivi sasa Polisi wameendelea kupokea vitu vingi sana, kama magari, kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi, jambo linaibua maswali mengi, kwanini sasa hivi?

Je, ni kwa nia njema au kuna ajenda ya kisiasa nyuma yake?

====

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda Septemba 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Polisi Jeshi katika kijiji cha Mkanzaule Wilaya ya Mafinga Mkoani Iringa.

1757747420962.png
‎Akizungumza wakati wa sherehe hizo, Jenerali Mkunda alisema kuwa kwa upande wa Jeshi ni historia na ni mara ya kwanza kwa Polisi Jeshi kuwa na shule yao ya kujitegemea huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunga mkono uboreshaji wa miundo mbinu ya mafunzo jeshini.

1757747455799.png
Pia alisema uamuzi wa kujenga shule hiyo ni jawabu mojawapo la kuhakikisha Polisi Jeshi wanapata mafunzo yenye utaalamu wa kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ya kipolisi kwa weledi mkubwa na ufanisi mkubwa.

‎Aidha, akizungumza mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi, Jenerali Mkunda amewaasa Maafisa na Askari kuviishi viapo vyao wakati wote wanapotekeleza majukumu ya kijeshi

1757747488720.png
 
Kwa kuweka kumbukumbu sawa; Mafinga ni Mji, na siyo Wilaya! Wilaya ni Mufindi. Ndani ya Wilaya ya Mufindi kuna Halmashauri mbili; Mufindi na Mafinga Mji.
 
kipi sahihi.NASHUKURU SERIKALI AU NASHUKURU RAIS SAMIA?
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda Septemba 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Polisi Jeshi katika kijiji cha Mkanzaule Wilaya ya Mafinga Mkoani Iringa.

‎Akizungumza wakati wa sherehe hizo, Jenerali Mkunda alisema kuwa kwa upande wa Jeshi ni historia na ni mara ya kwanza kwa Polisi Jeshi kuwa na shule yao ya kujitegemea huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunga mkono uboreshaji wa miundo mbinu ya mafunzo jeshini.

Pia alisema uamuzi wa kujenga shule hiyo ni jawabu mojawapo la kuhakikisha Polisi Jeshi wanapata mafunzo yenye utaalamu wa kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ya kipolisi kwa weledi mkubwa na ufanisi mkubwa.

‎Aidha, akizungumza mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi, Jenerali Mkunda amewaasa Maafisa na Askari kuviishi viapo vyao wakati wote wanapotekeleza majukumu ya kijeshi

Jeshi likiwa ni sehemu ya udhalimu na kukaa upande wa wanasiasa ambao wanadhurumu na kufanya ubadhirifu wa mali za nchi bila uwoga linakuwa halina mvuto tena na wananchi uanza kuridharau na kukosa support.
 
Namimi nikiwa kama mkorinto member wa jamii forums nichukue nafasii kumshukuru rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh samia suluhu hassan,kwa kuniwezesha kutype ujumbe huu kwa kutumia simu yangu.
 
Wakuu!

Ni mimi tu au nyie mmeona? Hivi sasa Polisi wameendelea kupokea vitu vingi sana, kama magari, kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi, jambo linaibua maswali mengi, kwanini sasa hivi?

Je, ni kwa nia njema au kuna ajenda ya kisiasa nyuma yake?

====

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda Septemba 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Polisi Jeshi katika kijiji cha Mkanzaule Wilaya ya Mafinga Mkoani Iringa.

‎Akizungumza wakati wa sherehe hizo, Jenerali Mkunda alisema kuwa kwa upande wa Jeshi ni historia na ni mara ya kwanza kwa Polisi Jeshi kuwa na shule yao ya kujitegemea huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunga mkono uboreshaji wa miundo mbinu ya mafunzo jeshini.

Pia alisema uamuzi wa kujenga shule hiyo ni jawabu mojawapo la kuhakikisha Polisi Jeshi wanapata mafunzo yenye utaalamu wa kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ya kipolisi kwa weledi mkubwa na ufanisi mkubwa.

‎Aidha, akizungumza mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi, Jenerali Mkunda amewaasa Maafisa na Askari kuviishi viapo vyao wakati wote wanapotekeleza majukumu ya kijeshi

ivi kwanini huwa anaitwa mkuu wa majeshi??? na amiri jeshi mkuu?? kwann isiwe amiri wa majeshi mkuu??
 
Back
Top Bottom