mkuu wa majeshi

  1. VUTA-NKUVUTE

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na makomandoo wetu walio washtakiwa na mashahidi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake...
  2. BigBro

    Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  3. Replica

    Dar: Amiri Jeshi Mkuu rais Samia, Wananchi Waelimishwe umuhimu wa amani na madhara ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi

    Rais Samia leo akiwa amevalia nguo za kijeshi amehudhuria ufunguzi wa kikao cha mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Lugalo, Dar es Salaam. Rais Samia anatarajiwa kuhutubia kwenye kikao hicho. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15...
  4. ESCORT 1

    Nasikia Mkuu wa Majeshi huku Venezuela ameshapita umri wa kustaafu lakini bado yupo ofisini

    Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!! Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye...
  5. TODAYS

    KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

    Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry. Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia. Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa...
  6. W

    Je, kiprotokali Mkuu wa Majeshi (CDF) atampigia salute Meja Generali?

    Habari, Juzi Mh. Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa mikoa wa mikoa yote ya Tanzania bara na miongoni ya walioteuliwa ni aliyekuwa mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja General Charles Mbuge kuwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akichukua nafasi ya Brigedia Generali Marco Kaguti ambaye...
  7. U

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Uganda Yoweri Museveni Awapandisha Vyeo Brigedia Jenerali 7 Kuwa Meja Jenerali & Makanali 33 kuwa Brigedia Jenerali

    Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
  8. Cathelin

    Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

    Wakuu hope mko poa Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) Karibu mtujuze mnaojua
  9. tang'ana

    Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
  10. Webabu

    Mkuu wa Majeshi Nigeria anena kuhusu Magaidi

    Mkuu wa majeshi wa Nigeria Lt Gen Tukur Yusuf Buratai amesema magaidi nchini humo wataendelea kuwepo hata baada ya miaka 20 ijayo. Maelezo hayo ameyatoa kwenye ukurasa wake wa twitter baada ya kutokwa kwa mauwaji ya watu 43 yanayosemekana yalitekelezwa na Bokoharam. Maoni yake hayo yamekuja...
  11. malela.nc

    Swali la kizushi: Imekaaje hapa kwa CDF na RC

    Habari wakuu. Hoja yangu ni nyepesi sana lakini inanitatiza kidogo. Tumeshazoea kuona CDF (Mkuu wa Majeshi) akipiga SALUTE kwa wateule wa Mh Rais. Hapa nazungumzia Mkuu wa Mkoa (RC) SWALI: Inakuaje pale Mkuu wa Majeshi anapoenda mikoa inayoongozwa na wanajeshi kama Kagera ulio chini ya Mh. Brig...
  12. Mag3

    Mkuu wa Majeshi ajuta na kuwaomba radhi wananchi wa Marekani kwa kuambatana na Rais katika ziara yenye utata ikihusishwa na siasa!

    Wakati wa ziara iliyoleta utata. Mkuu wa Majeshi akiomba radhi... ==== Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
  13. Analogia Malenga

    Chad: Mkuu wa Majeshi afukuzwa kazi baada ya kumkosoa Rais

    Mkuu wa Majeshi nchini Chad, Ahmat Koussou Moursal amefukuzwa kazi baada ya kuandika barua ya wazi kumkosoa Rais Idriss Deby. Katika barua yake, mkuu huyo alimlaumu Rais kuwasahau rafiki zake waliokuwa wote jeshini, kusini mashariki mwa Chad, Guera. Pia alizilaumu mamlaka kwa kutowalipa fidia...
  14. J

    Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mabeyo atimba Bungeni kufuatilia uwasilishaji wa bajeti yaWizara ya Ulinzi

    Spika Ndugai mchana huu ametambulisha uwepo wa viongozi wakuu wa JWTZ na JKT waliopo bungeni wakiongozwa na General Mabeyo. Wengine ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi na mkuu wa JKT Haya ni mambo ya jeshi, naomba niishie hapo. Maendeleo hayana vyama!
  15. Troll JF

    Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

    “[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema...
  16. Superbug

    Mkuu wa Majeshi na Gavana wa Benki Kuu nani ana mkwanja analindwa na Ni nyeti kuliko mwingine

    Hivi katika nchi yoyote Nani anamzudi mwenzake kwa kila kitu kulingana na nafasi zao Mkuu wa Majeshi na Gavana wa bank kuu. Vipi kuhusu maslahi unyeti na ulinzi wa hawa watu? Au la ukiambiwa uchague kimoja wapo utachagua kipi? Binafsi naona gavana ndio kila kitu.
  17. Kaka Pekee

    Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
  18. F

    Rais si mkweli, Mawaziri si wakweli, Mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi na polisi wake SI WAKWELI.

    Uongo umeshakuwa kitu cha kawaida katika nchi yetu, Serikali yetu haikuwahi kuaminika na itaendelea kutoaminika. Rais si mkweli, mbabe, ukandamizaji wa haki za raia, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma (Bado tunadaiwa mabilioni kama siyo matrillioni ya shillingi...
Back
Top Bottom