mkweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    Mwamposa ni mkweli sana, Mungu hatumii hela ndio maana account zote za sadaka ziko kwa jina la Mwamposa

    Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe sadaka. Akaorodhesha namba nyingi sana za voda, tigo, airtel, halotel, na mabenki mbalimbali. Accounts...
  2. Mr Ballo

    Natafuta Mwenza wa Maisha — Mwenye nia ya dhati tu

    Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
  3. Hypersonic WMD

    Nini kinasababisha Usilipe Deni? ebu uwe mkweli

    Najiulizaga hili swali sipati jibu labda niwaulize nyie mnaodaiwa na hamtaki kulipa….? Nini kinasababisha usilipe deni?? Kwa mtu binafsi achana na mahela ya benki!
  4. GENTAMYCINE

    Tusifichane Mpango wala hajachoka, ila kuwa Kwake Mkweli na kuwa 'Team Hayati 5th Phase President' ndiko Kumemgharimu

    Kama kachoka kweli mbona hajasema kuwa Kachoka kuwa Mbunge huko aliko na bado tena mwakani anagombea? Na hili ndilo limekuwa tatizo lenu wana CCM japo Mimi si Mwanachama wenu ila ni Shabiki yenu ni kwamba mnapenda na sijui kwanini kudhani kuwa Watanzania wote hatuna Akili na hatujui mambo.
  5. Bulelaa

    Hakuna uhusiano wowote wa Sadaka za Mbowe kwa Mh.Lissu na Lissu kuitaka nafasi ya Uenyekiti Taifa, vinginevyo Mbowe awe mkweli tu!

    Huyu jamaa bado hajasema, mpaka aseme Kwani kuna uhusiano gani kati ya sadaka alizozitoa kumpa Lissu linapokuja suala la Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti mpaka akumbushie sadaka alizompa Lissu? Kumpa nyumba ya kukaa pale Dodoma inaleta uhusiano wowote kwenye kugombea nafasi aliyonayo mbowe...
  6. britanicca

    Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi. Mifano ni hii hapa chini

    1. Alimkaba Magufuli kuhusu makinikia tukadanganywa na hela ya Noah kwa kila mbongo 2. Alimkaba Kila mla Rushwa wa Escrow 3. Kawakaba wabunge wenzake 4. Sasa yuko na Abdul na wenje 5. Viti maalumu CHADEMA wanapata baada ya kulamba asali Fulani 6. Mama Samia kashindwa nchi 7. Burungutu la Pesa...
  7. J

    Je, Tundu Lissu ni mkweli kupita kiasi, au ni mropokaji?

    ..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo. ..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi. ..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana...
  8. E

    Itoshe kusema Wenje alijitaja mwenyewe kuwasiliana na kujuana na Abdul , Tundu lissu ni mkweli na hana pengine pa kusemea

    TL alitwambia muda mrefu sana Abdul na Kiongozi CDM kumfuata kutaka kumpa Rushwa. Muda umeongea , Tumuamini lissu
  9. chiembe

    Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

    Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja. Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
  10. Lady Whistledown

    Kuwa mkweli, ukikuta mwanamke ananyanyaswa mtandaoni utaingilia kumsaidia?

    Katika ulimwengu wa sasa, wanawake wanazidi kutumia mtandao kuonyesha vipaji vyao, kushiriki mawazo yao, na kuunganisha na jamii. Lakini pamoja na hayo, unyanyasaji mtandaoni umekuwa tatizo kubwa linalowazuia wanawake wengi kujieleza kwa uhuru. Je, unafikiria nini unapoona mwanamke...
  11. Tabutupu

    Tetesi: Unajua nini kuhusu ngorongoro? Nani mkweli

    1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii. 2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99. 3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017) 4. Kuna...
  12. F

    Chadema tushukuru kwamba CCM wameanza kuropoka hadharani mbinu zao za kushinda chaguzi. Nape ni mkweli tusimlaumu, tatizo ni mfumo CCM.

    Badala ya kuona kuwa Nape amekosea kusema aliyosema, tumwone Nape kama mtu aliyesema ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Ni kweli kwamba matokeo ya kura hutegemea nani anahesabu kura na mara nyingi sana matokeo hupangwa kabla hata ya kura kupigwa. Tatizo sio Nape bali ni mfumo CCM. Mnakumbuka...
  13. Dream Queen

    Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

    Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu?? Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali...
  14. Jumanne Mwita

    Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Katika maisha yangu nachotaka kusema mimi na urafiki na mwanamke haupo hata kama unajifanya mimi ni rafiki yako ntafanya niwezalo nikukosee maana mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Wapo wanaoweza ila Kwa upande wangu siwezi kama nilikutongoza ukasema hapana tuwe marafiki hapo ndio imeisha...
  15. U

    Rekodi ya kuuza copy nyingi, nani mkweli, Mr. Nice niliuza nakala 1.7 mil, feruzi 200k ndani ya wiki?

    Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza nakala milioni 1.7 na aliemfuatia alikuwa around laki 380,000/= wakati huo huo tunaambiwa na Feruzi...
  16. S

    Hongera kocha wa Taifa Stars kwa kuwa mkweli. Taifa stars haijaenda AFCON kushindana

    Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru. Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye". Tujifunze kuwa wakweli...
  17. GENTAMYCINE

    Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

    Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo. Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba...
  18. Petro E. Mselewa

    Kiduku ni mkweli na muungwana. Ni asili ya watu wa Morogoro?

    Jana, pale Mwanza bondia mtanzania Kiduku alipanda ulingoni kwa pambano la raundi 12 la ubingwa wa WBF. Alipambana na bondia Wellem wa Afrika ya Kusini. Wellem, akitumia jab yake ya kushoto na urefu wake, alifanikiwa kumweka mbali Kiduku na kuvuna points za kutosha kumpatia ushindi wa jana...
  19. Pascal Mayalla

    Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Wanabodi Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!. Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha...
  20. L

    Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
Back
Top Bottom