Mimi kama GENTAMYCINE kosa langu nitalisema baadae kwani ni kubwa na bado naendelea kutubu kwa Mwenyezi Mungu na kumuomba msamaha huyo Ex wangu pamoja na kwamba ameshaolewa na kubahatika kuzalishwa watoto wake wazuri wawili wa kiume na kike.
Nawaomba wanaume tuliopo hapa JamiiForums tuseme...
Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.
Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana...
Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali.
Dkt. Mollel nae aliibuka huko nyuma akiwa Bungeni na kudai CHADEMA walimtwanga Lissu risasi na aliongea bila...
Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.
Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa...
Kuna mkanganyiko mkubwa nchini katika utoaji taarifa za deni la taifa. Kuna usemi kuwa miluzi mingi huchanganya mwelekeo wa Mbwa.
Ndugai ni Spika, Balile ni Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Luoga ni Gavana, sasa nani ana taarifa sahihi za kutufanya tumuamini?
Ndugai amesema deni la taifa ni...
Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na...
Msemaji wa serikali alitangaza akiwa Singida kuwa tar 22 mwezi huu september wastaafu tayari wamelipwa stahiki zao za Mafao. Leo hii tupo wastaafu 15 kutoka secta mbali mbali tulio staafu mapema mwaka jana mwezi wa 12, 2020, leo tarehe 30 septemba tumeenda Benki saa 2.27 usiku na kubaini hamna...
Chagua swali kisha jibu, nitapitia jibu lako kwa kuweka reaction ("thanks👍" ikiwa umepatia na " Wow😲" ikiwa umekosa).
1/ Which grows faster?
A. Hair
B. Finger
C. Nails
2/ I have a dream
A. Nelson Mandela
B. Barrack Obama
C. Martin Luther King Jr.
3/ In which...
Source: Warioba amshukia Prof Shivji | Mwananchi
Dar es Salaam. Mjadala wa Mabadiliko ya Katiba jana ulihamia nje ya Bunge wakati Jaji Joseph Warioba alipomchambua mhadhiri maarufu nchini, Profesa Issa Shivji akimueleza kuwa si mkweli bali mpotoshaji wa Rasimu ya Katiba.
Jaji Warioba, ambaye...
Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama hivi ambavyo ameumbuka.
Imagine alikuwa na sababu gani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.