mlima

The Mlima Combani and Mlima Mtsapéré Important Bird Area lies in the north-central part of the French island territory of Mayotte in the Comoro Islands, lying at the northern end of the Mozambique Channel between the East African country of Mozambique and Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. plan z

    Jinsi utakavyokuwa usipoanza kupanda mlima na wewe

    JINSI UTAKAVYOKUWA USIPOAMUA KUPANDA MLIMA NA WEWE Hapa mlima ninaoumaanisha ni maisha yako, kwa mfano unataka kufanya jambo flani na ukaulizia kwa wengine waliofanya jambo kama hilo, na walipokupa mbinu hukuchukua hatua ili na wewe ufike walipofikia au ujionee mwenyewe. Kwa mfano unataka...
  2. Nobunaga

    Mwanzo wa uasi wa Mlima Kenya dhidi ya Rais Kenyatta

    Rais Uhuru Kenyatta alipowasihi wafuasi wake wa Mlima Kenya mwaka wa 2013 kumkumbatia William Ruto kama mrithi wake anayetarajiwa, alikuwa ameweka agano bila kujua hangeweza kulivunja. Wakaazi wa Mlima Kenya walikuwa wamedhamiria sana kumuona Dk Ruto akichukua mamlaka mwaka wa 2022 hivi kwamba...
  3. Roving Journalist

    Nape: Bei ya internet imeshuka sana

    Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022 Waziri Nape Nnauye: Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya intaneti katika moja ya kivutio bora cha kitalii Duniani Maeneo mengi ya utalii Nchini baada ya...
  4. L

    Kijana wa Marekani atafuta ndoto ya Kung Fu katika Mlima Wudang

    Juni 22, katika Mlima wa Wudang, mjini Shiyan, China, "kocha wa kigeni" Jack alichukua wanafunzi wake kufanya mazoezi ya Tai Chi. Jack anatoka Marekani na amejifunza Kung Fu katika Mlima Wudang kwa miaka 12. Hivi sasa, anawajibika kufundisha Kung Fu kwa wanafunzi wa kigeni.
  5. MamaSamia2025

    Baada ya Safina ya Nuhu kutua Mlima Ararat, wanyama walifikaje kwenye mabara mengine?

    Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale? Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje? Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina...
  6. M

    Hii michango itayochangishwa si sababu ya Royal Tour, hawa vijana wa Kiholanzi wanaujua Mlima Kilimanjaro tangu enzi na enzi

    Raia wa Uholanzi zaidi ya 40 wameanzisha mbio za baiskeli kuzunguka mlima Kilimanjaro kilometa 400 kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia sekta ya afya nchini. Mbio hizo za baiskeli zijulikanazo kwa jina la ‘Africa Classic’ zimeratibiwa na Shirika la Amref Netherlands kwa kushirikiana na Amref...
  7. MK254

    Wabongo bana, yaani mtu maarufu (celebrity) hajui ulipo mlima Kilimanjaro, halafu mnatupigia makelele

    Ndivyo walivyo, asilimia kubwa ya Watanzania wakiwemo wasanii na watu maarufu wengi hawajui vivutio vya kitalii kwao viko wapi, wao wapo wapo tu siku ziende, hawaitalii nchi yao kabisa, hawana desturi kama ilivyo kwetu sisi Wakenya ambapo tumegeuza kibao kabisa, tunaitalii nchi yetu kote, vijana...
  8. L

    Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  9. S

    Google Doodle wameuweka Mlima Kilimanjaro leo

    Leo kama ilivyokatika miaka yote ni siku ya Dunia. Huwa siku hii inaadhimishwa kwa kujadiliana namna gani tunaweza kuifanya dunia iendelee kuwa sehemu salama ya kuishi. Changamoto zote na namna ya kuzitatua kufuatia mabadiliko ya tabia nchi. Nimefarijika kuona mlima Kilimanjaro leo utafahamiaka...
  10. Chachu Ombara

    Watu watano wafariki dunia baada ya Lori kufeli breki kwenye mlima Mbalizi, Mbeya

    Watu watano wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa mkoani Mbeya baada ya Lori la Mizigo kufeli breki kwenye mteremko wa Mlima Mbalizi na kuyagonga magari madogo matatu, Bajaji na watembea kwa mguu. ========================== Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  11. John Haramba

    Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati hiyo. "Nasikia mnataka kuweka kiberenge cha kupanda Mlima Kilimanjaro, mnataka kuua mlima? Mkiweka...
  12. N'yadikwa

    Wito kwa Serikali, TANROADS: Tunahitaji mkakati wa kupanua kipande cha barabara Mlima Kitonga, Iringa

    Kwa miaka mingi sasa eneo hili limekuwa eneo korofi kwa kusababisha ajali nyingi sana kila uchao. Kwa wanaotumia barabara ya TANZAM ni nadra sana upite KITONGA usikutane na ajali hasa ya magari makubwa.. Ajali nyingi kwenye kipanda-njia hiki ni za Malori na Mabasi kwa sababu zifuatazo:- 1...
  13. Idugunde

    Wafanyakazi 12 wa Azam Tv wapata ajali mlima Kitonga. Walikuwa wanaelekea jijini Mbeya kurusha matangazo ya NBC premier league

    Azam Media Limited (AML) inautaarifu umma kuwa wafanyakazi wake 12 waliokuwa wanakwenda mkoani Mbeya kwa ajili ya kazi ya kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya NBC wamepata ajali baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa likirudi nyuma kwa dharula katika Mlima Kitonga. Ajali hiyo...
  14. Sky Eclat

    Mlima nyani uko katika milima ya Usambara

    Milima nyani
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

    Barafu inayeyuka kabisa kileleni. Mungu atunusuru
  16. I am Groot

    Johannes Rebmann: Mtu aliyegundua mlima Kilimanjaro

    Ni maajabu sana. Kulingana na machapisho mbalimbali mlima maarufu unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 3 million iliyopita hakuna mkazi yeyote wa aliwahi kujua kuna mlima mrefu kaskazini mwa Tanganyika hata wale wakazi wenyewe hawakujua 😁. Johannes Rebmann. Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na...
  17. C

    Picha: Hatimaye Twiga wa utopolo pamoja na mlima Kilimanjaro wageuzwa mweusi

    NBC wame surrender kwa utopwinyo na kukubali kuharibu logo yao , inasikitisha sana ni vile Utopwenga hawana ga desturi ya kufikaga robo fainali ya champions league lasivyo wangejua ni lazima kuvaa nembo ya wadhamini wa CAf(total)wenye rangi nyekundu, watayajulia wapi wakati rounds za awali ndiyo...
  18. C

    Twiga kwenye jezi ya Yanga atakuwa mweusi mlima wa kijani

    Haya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni mbaaya kishenzi hadi ina mabondia na wacheza netball hay bwana kikao kimekaa jana na NBC wamekubaliana...
  19. P

    Je, moto wa ajabu ardhini rombo ni dalili za kulipuka volcano iliyolala ya mlima Kilimanjaro?

    Kwa wakaazi wa Wilaya ya Rombo na maeneo mengine yote kuuzunguka mlima Kilimanjaro chochote kinachotokea kuhusiana na Mlima huu ni lazima kiwaguse moja kwa moja kutokana na maisha yao kutegemea miteremko yake kwa maelefu ya miaka iliyopita. Ingawa uwezekano wa Volcano ya mlima huu kulipuka...
  20. S

    Serikali ya CCM iliahidi kutengeneza njia nne mlima wa Mbalizi Mbeya hadi leo kimya, Dr. Tulia sasa wewe ndio mbunge wa Mbeya, unasubiri vifo vingapi?

    Hakuna kitu kinakera kama ahadi za uwongo wa wanasiasa. Na mbaya zaidi ni pale ambapo wanaahidi uongo kwa vitu ambavyo vinagharimu maisha ya watu. Kwa nini wanasiasa wanapenda kusema uongo? Tuchukulie huu mteremko wa Mbalizi unapotoka Mbeya mjini kwenda Songwe airport, Mbozi Tunduma na hata...
Back
Top Bottom