The Mlima Combani and Mlima Mtsapéré Important Bird Area lies in the north-central part of the French island territory of Mayotte in the Comoro Islands, lying at the northern end of the Mozambique Channel between the East African country of Mozambique and Madagascar.
Hiki kilima kikali au tuseme mteremko mkali wa Iwambi Mbalizi Mbeya umeshindikana kwa ajali,huwa muda mrefu haupiti bila ajali kutokea.
Leo imetokea ajali tena na Lori lililobeba shaba bila shaka kutoka zambia,limeteketea kwa moto baada ya kugongana na gari lingine.
Foleni iliyopo leo...
TWENDENI WATANZANIA TUKAPIGIE KURA MLIMA KILIMANJARO NA HIFADHI YETU YA SERENGETI.
Kwa mara nyingine tena Mlima wetu adhimu kabisa wa Kilimanjaro na Hifadhi yetu ya Taifa ya Serengeti imechaguliwa kuwania tuzo za Utalii duniani (World Travel Awards 2021) ambapo Mlima Kilimanjaro umechaguliwa...
Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini?
Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
Mzuka wanajamvi!
Rubani wa Ethiopian Airlines alipokaribia kutua KIA anga ilikuwa wazi na mawingu hayakuwepo. Akauona Kilimanjaro haraka akawaomba flight controllers KIA wamruhusu auzunguke wakamkubalia nakuwashtua abiria. Ilikuwa furaha kila mtu kwenye ndege ooh my God.
The majestic...
Mamlaka mjini Goma nchini Congo DR zimewataka waakazi wa mji huo kuondoa kwa hofu ya volcano ya mlima Nyiragongo kulipuka kwa mara ya pili.
Mji jirani wa Gisenyi,Rubavu Nchi ya Rwanda umeshuhudia mamia ya makumi ya waakazi wa mji wa Goma wakikimbilia hapo kwa minajili hiyo ya kukimbia madhara...
Wapo madereva na wafanyabiashara wanaohitaji msaada wakati huu pale mpakani mwa Rwanda na Kongo,Gisenyi almaarufu GRAND BARRIER.
Watumishi wengi Watanzania wahudumuo kwenye mission maalum ya Usalama upande wa Kivu kaskazini wanaweza kutumiwa kuwaokoa ndugu zao endapo team leader atawasiliana na...
Mtanzania wa kwanza binti mwenye umri wa miaka 20, Rawan Dakik na pia mdogo kabisa Barani Afrika kupanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kumaliza mzunguko wake wa pili wa mita 7,200 juu ya usawa wa bahari bila oksijeni ya nyongeza
Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi ya mlima...
Mlima Kilimanjaro ni miongoni mwa milima yenye vilele virefu zaidi Duniani. Mlima huu una sifa nyingi zinazoutofautisha na milima mingine, sifa hizo ni pamoja na:
1. Ni miongoni mwa milima saba enye vilele virefu zaidi Duniani. Lakini pamoja na kuwa hivyo bado ni mlima rahisi kupandwa...
Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman
Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea
Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
Kwa miaka mingi kumekuwepo na baadhi ya Wakenya wamekuwa wakisema na kutangaza huko duniani kuwa Mlima Kilimanjaro unapatikana ndani ya nchi yao.
Ni jambo ambalo limekuwa likiendelea kwa muda mrefu sana,mpaka kufikia kwa baadhi ya wageni( watalii) kutoka nchi mbalimbali duniani, kuamini kuwa...
MLIMA KILIMANJARO KAMA ULIVYOSANIFIWA KATIKA KITABU ''RAJABU IBRAHIM KIRAMA JEMADARI WA VITA KUWA JEMADARI WA UISLAM''
''Mlima Kilimanjaro unaonekana muda wote; ikiwa hakuna mawingu; tokea Moshi.
Huu ni mfano wa alama ya kueleza kuwa chini ya mlima ndiyo nchi ya Wachagga.
Mlima Kilimanjaro...
Habari,
Naomba kufahamu vitu binafsi ambavyo porter anapaswa kuvibeba katika safari yake ya kuwapandisha wageni mlima Kilimanjaro.?
nimeuliza kwa maana nahitaji kuwa porter.
Shukrani.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Upi ni uamuzi sahihi wa kufanywa na abiria pindi gari (hususan daladala) inapoanza kurudi nyuma baada ya kushindwa kupanda mlima?
Je, ulishawahi kujikuta katika hali hii na ulifanya nini?
Nimeamua kuomba ushauri...
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema kuwa ukaguzi wa anga uliofanywa leo asubuhi katika Mlima Kilimanjaro umebaini kuwa moto wote umedhibitiwa lakini vikosi vya askari vimetawanywa kwa ajili ya tahadhari.
Moto huo uliozuka Oktoba 11 mwaka huu umeathiri eneo la kilomita za...
#SEHEMU YA KWANZA Naleta full documentary nilivyo husika kwenye janga la moto mlima kilimanjaro
Kwanza Mimi nilishapitia mafunzo magumu ya jeshi 843Kj nadhani hii pia ilichangia kuepuka kifo.
Stori inaanza asubuhi 13/10/2020 nilivyofika Marangu mtoni sehemu...
Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro?
Sijataka kuongelea kuhusu Kenya kwa maana wadau wataanza...
Serikali ya Tanzania inatazamiwa kutuma helikopta na ndege katika mlima Kilimanjaro nchini Tanzania kujaribu kuuzima moto unaendelea kuwaka kwa siku ya saba sasa.
Hayo ameyasema Waziri wa utalii nchini humo Dkt Hamis Kigwangala baada ya moto kuendelea kuwaka katika mlima huo.
Jana Waziri...
TANAPA ni shirika kubwa sana linakusanya pesa nyingi kupitia Mlima Kilimanjaro ila cha ajabu ni kwamba, waliokwenda kuzima moto mlimani ni waliambiwa wawe watu wa kujitolea ambao walikusanywa Mgambo wa Kilimanjaro na Arusha hawa ni miongoni mwa waliokwenda kusaidiana na wengine kuuzima moto...