mlima

The Mlima Combani and Mlima Mtsapéré Important Bird Area lies in the north-central part of the French island territory of Mayotte in the Comoro Islands, lying at the northern end of the Mozambique Channel between the East African country of Mozambique and Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. Masaa 48, Mlima Kilimanjaro bado ukiwa unateketea

    Utalii ni sehemu mojawapo inayoingizia mapato nchi yetu na sekta hii ikiwa imetia ajira nyingi kwa watanzania na kuruhusu wageni wengi kuja na kuwekeza mamilioni ya fedha hapa nchini, hali inayofanya mapato kupitia sekta hii kuwa imara kutokana na mambo mbalimbali. Mpaka ninapoandikaada hii ni...
  2. Wananchi, Wanafunzi na Zimamoto washirikiana kuzima moto Mlima Kilimanjaro

    Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka (CAWMSO) amewaomba wanafunzi waliopo chuoni kushiriki kikamilifu katika kuzima moto katika hifadhi ya Kilimanjaro. Mamlaka za Hifadhi za Taifa ilisema sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro ilianza kuungua tangu jana mchana na waliendelea juhudi za...
  3. BBC, habari za moto Mlima Kilimanjaro anaripoti mwandishi kutoka Kenya, ni sahihi?

    Nilikuwa nafuatilia habari za BBC London katika television. Cha kushangaza habari ya mlima Kilimanjaro na harakati za nchi kuzima moto katika mlima huo mkubwa barani Afrika ameripoti mwandishi Emmanuel Igunza kutoka nchini Kenya. Nimejiuliza sana kwa nini habari za Tanzania aripoti mwandishi...
  4. Angalizo: Jitihada zifanyike mapema kuokoa hifadhi ya msitu unaoteketea kwa moto katika mlima Kilimanjaro

    Kuanzia majira ya saa 12 jioni ya Leo maeneo ya msitu wa mlima Kilimanjaro umeonekana ukiwa na ishara ya kuwaka moto kutoka sehemu ya upande wa mashariki ukiwa unatizama mlima kutokea Moshi Mjini, hivyo kuonekana ukubwa wa moto kuongezeka kadri muda unavyozidi kwenda, inaonekana eneo...
  5. J

    Sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro inaungua moto!

    Sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro inaungua moto muda huu. Habari kamili itakuja Source ITV habari! ==== Wazima moto nchini Tanzania wanapambana kujaribu kuudhibiti moto unaouteketeza mlima mrefu zaidi barani Afrika, mlima Kilimanjaro. Kulingana na shirika la mbuga za kitaifa Tanzania...
  6. B

    Je unahitaji Bussiness plan ya Kampuni kwa ajili utalii Tanzania

    Habarini wanajukwaa Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini. Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…