Hapo jana tarehe 19/08/2024 kuna mwanafunzi amekuja akiwa na shida ya kufunguliwa account hapo kwenye Tawi lenu, mmemkatalia.
Eti kwa sababu hana kitambulisho cha NIDA, wakati ambapo anautambulisho kamili toka serikali ya mtaa.
Lakini alipoenda kwenye benki ya CRDB walikubali kumfungulia...