Nina bicon ambayo niliipata katika mlima.Ikiwa katika mdomo wa chupa ya wine na kugundishwa kwa cementi Kali.
Mwonekano wake
Ni shaba
Imechongwa
Ia ngazi
Nini nimefanya -nimejaribu kupata watu wenye kujua maana ya yalimo katika bicon hiyo sijapata.
Nini Nahitaji: Msaada wa wapi naweza kupata...
Ndugu wajumbe,ubora wa Vyuo Vikuu hupimwa Kwa Wingi wa tafiti na machapisho ya kitaalmu.
Kwa mujibu wa taarifa ya jarida la masuala ya Elimu ya Juu,Limetaha Vyuo 10 Bora Barani Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Chuo Kikuu Muhimbili kimeshika nafasi ya 3 na Chuo Kikuu Ardhi kimeshika...
Kama ndivyo, nashauri BRT ya Mbagala kutokea Gerezani na kutokea Magomeni zianze kazi mara moja.
Hakuna maana kukamilisha mradi halafu mnasubiri wiki 2 kabla ya uchaguzi ndio mnazindua, huo ni usanii.
Sikupiga picha.
Hapa ukikaa unaweza kudhani watu wapo serious na maisha kumbe maigizo tu na vikao vingi hapa vimekaa kitapeli tapeli
Watu wawili ama watatu wanakaa kwenye moja ya coffee shops na mmoja anafungua laptop ama anashika notebook na pen
Ukitazama walivo serious ni kama kikao kizito cha biashara...
Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu.
Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4.
Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza.
Jana...
Watch TBC live !
https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX
Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wawekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli.
Kwa vile sio wote wenye access na TBC saa hizi, nitawaletea kwa uchache yale ya muhimu aliyozungumza.
Mkurugenzi...
Wanabodi
OVERVIEW
The Tanzania Investment Centre (TIC) was established in 1997 by the Tanzania Investment Act to be the primary agency of the government to coordinate, encourage, promote and facilitate investment in Tanzania and to advise the government on investment policy and related...
Nipo hapa Mlimani City ndani ya Jiji la Chalamila (Dar es Salaam), taarifa ikufikie kuwa vijana wa security yaani wale walinzi wanaovaa yale mashati maupe wameandaa maandamanonmadogo ya mgomo wa ndani ya jengo hilo, wanadai hawajalipwa mshahara, imekuwa kero, hiyo maandamano yasiyo rasmi...
Mgeni rasmi katika utoaji wa Tuzo hizi ni Balozi Ombeni Yohana Sefue.
1. Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Life Time Achievements Award)
Tido Mhando
Mshindi wa Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari
(Lifetime Achievement in Journalism Award - LAJA 2023)
2...
Ukienda pale Dar es Salaam kuna sehemu inaitwa Mlimani City, na wengine wakienda Dar es Salaam na kama hawajafika Mlimani City wanahisi hawajafika Dar es Salaam.
Wakati tunaijenga Mlimani City tuliambiwa tunakiuza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kumbe tulichukua eneo dogo na kumpa mwekezaji...
Kudra za mwenyezi Mungu ndiyo zimetupa afya na nguvu ya kufanikisha kuandika hili na wewe ndugu, kupata nguvu na uwezo wa kusoma hili andiko kuhusu
Nchini Tanzania, Mzozo wa Mkataba wa Mlimani City umekuwa mada ya mjadala kwa muda mrefu. Mzozo huo unahusu ujenzi wa jengo la maduka lenye thamani...
Leo asubuhi nimeenda pale mliman city kusolve mambo yangu ya kibenki,nlichokutana nacho ni balaa.Kwanza wahudumu ni wachache sana hawakidhi mahitaji ukiangalia huu ni mwisho wa mwezi watu wamepokea mishahara yao.
Kingine hata viti tu vya kukalia pale kwa wateja wanaosubr customer care ni...
Poleni kwa misiba Watanzania,
Naanzisha uzi huu kama rambi rambi kwa mwanachama mwenzetu aliyefariki hivi karibuni mzee wa bomayeee, case closed, free education n.k, kifupi tutammiss kwa zile mbwembwe zake katika social networks.
Hoja yangu ni hii, nataka tufahamiane iwapo yupo yeyote...
Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili.
Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
Paa la Afrika.
Nilikuwa nimesikia mengi juu ya Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko wote barani Afrika. Hali kadhalika, nilisoma mengi na kutazama picha nyingi zilizoonyesha mlima huo. Lakini katika yote hayo niliyosikia au kuona kwenye picha hakukuwepo lolote lililoniacha nisiweze kupigwa na butwaa...
HOTUBA MAARUFU ZAIDI KATIKA BIBLIA
(SERMON ON THE MOUNT)
Yesu alipoanza Huduma ya kueneza neno la Mungu alikusanya wanafunzi wake 12 na akatoa Hotuba maarufu zaidi katika biblia nzima na hajawahi mtu yeyote katika biblia kutoa Hotuba kama ile kuanzia Mwanzo mpaka ufunuo hakuna...
MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO
Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo.
Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
Anaandika Boniface Jacob ambaye alikuwa Meya wa Ubungo na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, aisee inaonekana wafanyabishara wote wa ndani na wa kigeni walikuwa wakimuogopa Magufuli isipokuwa mmiliki wa Mlimani City kama anavyoandika Boniface Jacob hapa.
================
ZAMA ZILE ZA GIZA kumbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.