mlinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) aliyeshtakiwa kwa kumlawiti mtoto kwenye vyoo vya Kanisa, atupwa jela Miaka 30

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemuhukumu Baraka Benedicto (23) kifungo cha Miaka 30 jela ikiwa ni baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ulawiti. Akisoma hukumu hiyo leo Machi 14, 2025, Hakimu Nabwike Mbaba amesema ushahidi ambao umetolewa kwenye kesi hiyo umetosha kumtia hatiani mshtakiwa...
  2. Gerson Msigwa, haiwezekani kila mmoja akawa Mlinzi wa SGR, Serikali iwajibike

    Moja ya best investment ya JPM na atakumbukwa kwa hili ni SGR. God bless you John, Rais Mtendaji. Tupo kwenye Science na Technology ,digital transformation, artificial intelligence, machine learning, satellite, Blockchain, internet of things, automotous drones, robotics and automations...
  3. Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake

    Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo...
  4. M

    Sikujua kama Brigedia anaweza kuwa mlinzi wa Rais na kubeba begi

    Zamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia. Hii imekaaje wadau
  5. Hii nakubaliana nayo 100% kwani nilipokuwa siweki / sina hata 10,000Tsh katika Akaunti nilikuwa Silali kama Mlinzi, ila sasa naweka Nalala kama Pono

    Utafiti mpya unaeleza kuwa tabia ya kuweka akiba haitakuacha tu na pesa taslimu bali kunaweza kukusaidia kulala vizuri pia. - Kuhifadhi pesa kiasi kidogo tu mara kwa mara, kunaweza kuboresha afya ya akili, watafiti katika Chuo Kikuu cha Bristol nchini Uingereza wanasema. - Watu wa kipato cha...
  6. Dar: Mlinzi wa Kanisa anayetuhumiwa kumlawiti Mtoto Muimba kwaya kwenye vyoo vya Parokia apandishwa kizimbani

    Mtuhumiwa Baraka Benedicto ambaye kabla ya kutiwa mbaroni alikuwa mlinzi katika Kanisa Katoliki la Sinza, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi-Sinza, amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kumuingilia mtoto kinyume na...
  7. Tukio la Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi, Padri asimulia kilichotokea

    Paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi - Sinza, Padre Josephat Celestine Muhoza amesema kuwa Kanisa lao lina taarifa kuhusu tuhuma za mlinzi wao mmoja anayetambulika kwa jina la Baraka kudaiwa kuhusika na tukio la kumlawiti Mwanafunzi wa darasa la Tano mwenye umri wa...
  8. DOKEZO Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie

    Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini Dar es Salaam, kuna mwendelezo wa taarifa hiyo. Andiko hilo la awali lipo hapa - Serikali imsaidie...
  9. TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

    Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
  10. Ikiwa Kanisa lina mlinzi ambaye ni mwanadamu iweje Watu waombe Ulinzi kwa mungu aliyeshindwa kulinda nyumba yake?

    Kwema Wakuu! Moja ya mambo yaliyozidi kunipa mashaka kwenye suala la dini ni pamoja na suala la ulinzi na usalama. Ukienda Kanisani sio ajabu ukakuta Milango. Na kama utaenda siku ambayo sio ya ibada sio ajabu ukakuta Milango imefungwa na kufuli kabisa. Kama hiyo haitoshi, Makanisa makubwa...
  11. M

    Nina mpango wa kukopa benki milioni 17, biashara gani inanifaa?

    Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana. Pili napenda kusema kutoka moyoni kwamba nimeamini na nina imani kuwa wafrika itatuchukua miaka mingi sana...
  12. Kutoka kua Mfagiaji, Mdeki Choo cha kunuka cha walevi, Mlinzi binafsi mpaka Cheo kikubwa Ofisi kubwa yenye kiyoyozi

    Coming Soon Mods tuheshimiane msifute.. Mimi sio mwandishi na msimuliaji mzuri tuvumiliane,
  13. Askari waliotuhumiwa kumuua Mlinzi wa Boardroom wafukuzwa kazi

    JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam, limewafukuza kazi askari wawili wa Kituo cha Mabatini wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mlinzi wa baa ya Board Room, Riziki Azan (29). Azan ambaye alikuwa mlinzi wa baa hiyo iliyoko Sinza jijini hapa, aliuawa usiku wa kuamkia Novemba 29, mwaka huu wakati...
  14. Polisi kuua mlinzi wa bar Dar: Je, Chalamila anakwepaje kuwajibika?

    Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na kuwatia mbaroni baadhi yao. RC Chalamila anayesifika kwa tabia za ufyatu ambapo aliwahi kusikika...
  15. Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

    1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam. 2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza 3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya...
  16. Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  17. Maradona: Hakuwepo, hayupo na hatokuwepo mlinzi kama Franco Baresi

    🗣️ “Baada ya Mchezo dhidi ya Milan, mshambuliaji Nyota wa SSC Napoli Armando Diego Maradona anaeleza kuwa, hakuwahi kutokea, hayupo na hatokuwepo Mlinzi kama Franco Baresi. Hii jezi sina budi kuivaa hapahapa Uwanjani kwa maana ni jezi ya Mlinzi bora kuwahi kutokea. Nina jezi nyingi lakini hii...
  18. Moshi: Mlinzi aliyehukumiwa kifo kwa Mauaji ya Mwanafunzi wa Sekondari ya Scolastica aachiwa huru

    Mahakama imemuachia huru aliyekuwa mlinzi wa Shule ya Sekondari Scolastica, iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Hamis Chacha (34) aliyehukumiwa kifo kwa kosa la kumuua kwa makusudi mwanafunzi wa shule hiyo, Humphrey Makundi. Chacha ameachiwa huru baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama...
  19. Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

    Alikuwa mshauri wa mahusiano ya watu na kuponda wanaume kwamba hawajui kuwa-handle wanawake wao. Amesafiri na mkewe sehemu kibao, mapikiniki na mavisiwa huku akiweka caption za kuonesha mahaba mengi kwa bidada. Yamemkuta leo, amegongewa & maokoto anaporwa. Anatafuta mshauri sasa! Fear women of...
  20. Mlinzi wa Lionel Messi anamlinda hadi wakati wa kushangilia uwanjani

    Mlinzi huyo Yassine Chueko ambaye ni Mwanajeshi wa zamani wa Marekani ameajiriwa na Inter Miami kwa mapendekezo ya mmiliki wa Klabu hiyo, David Beckham kumlinda Lionel Messi popote anapokwenda akiwa katika majukumu ya kazi yake. Kilichowashangaza watu wengi ni kuona Mlinzi huyo ambaye pia ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…