Raymond Mollel amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mlinzi mwenzake kwa kumchinja na kuondoka na kichwa chake bila kuiba kitu eneo la tukio.
Mtuhumiwa huyo amekiri kuhusika na mauaji na kuonesha alipokificha kichwa cha mwenzake. Raymond na marehemu walikuwa walinzi wa Meya wa Arusha...
Mlinzi wa shule ya Winning spirit iliyopo Terat jijini Arusha ISSA DINAIH ISSA miaka 57 mkazi wa Terati ameuawa Kikatili kwa kukatwa shingo na kutengenishwa na kiwiliwili na watu wasiojulikana na Kisha kuondoka na kichwa Cha marehemu usiku wa kuamkia leo.
Polisi Arusha imeshindwa kuzungumzia...
Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja.
Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu.
Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la...
Hii ndio nchi yetu ambayo inajali wananchi na kuwasogezea huduma. Hili ni jengo la Tanesco lenye thamani ya milioni 408.
--
Mchanganuo wa gharama zilizotumika kujenga ofisi ya TANESCO Wilaya ya Kyerwa, Kagera ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekataa kuifungua (TZS):
1. Chumba cha walinzi...
Tangu ugonjwa wa korona uingie kuna maeneo mbalimbali kabla ya kuingia unapimwa na mlinzi kama hauna dalili za korona kwa kuangaliwa joto la mwili.
nauliza haya maeneo kama bank maofisini shopping mall viwanja vya ndege, hivi kuna aliyegundulika na korona kwa kutumia kipimo hiki cha walinzi?
Women empowerment inalazimishwa mahali haifai.
This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.
The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu.
Don't put too many women around the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.