Hatuwezi kufanana, mwenye maneno atasuka sentensi zake, mwenye gari atatumia lifti, mkaanga chips atapooza njaa, n.k.
Utanashati una uzito kiasi gani kwenye mvuto
Share experience yako,
ni makosa gani mliyofanya ?
kuna ishara zozote mlizoziona kabla ya kuporomoka ?
Mlikabiliana vipi na aibu ya kuporomoka mbele ya jamii ?
Kuna watu waliochangia kwenye kuporomoka ?
maamuzi gani magumu mlifanya baada ya kuporomoka ?
maisha yenu ya sasa yanatofautianaje na...
Safari na Azam Upholstery ni moja kati ya malegendary wachache hapa Bongo kwenye issue ya seat covers na car's interior decorations.
Kazi zao zinavutia sana zikiwa mpya. Sasa nataka mtu mwenye shuhuda baada ya miaka mitatu hadi mitano ya matumizi quality yake inasimamaje?
Ukichukulia gharama...
🤣🤣 kwanza nicheke kiasi.
Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe?
Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma zangu huko SAUT, hivyo ukaribu na shemeji haukuwa kihiiivyo, ila siku zilivyozidi akawa ananijulia hali...
Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu written, practical and oral
Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare...
Hello guys, mimi ni mtanzania mwenye kipato cha chini, nimeona Vodacom M-pesa app kuna kipengere wameanzisha cha kununua bidhaa kwa kulipia taratibu TUNZA APP nikaona huenda ni jambo zuri maana zipo bidhaa nazozitaka ila siwezi kulipa keshi.
Je kuna wadau humu ambao mmefanikiwa kununua bidhaa...
Ni zaidi ya Miaka 10 sasa naona hizi Product zao lakini nimekuwa naogopa sana kuzitumia.
Naomba ushuhuda kwa mliowahi kuzitumia kama ziliwasaidia?
Na Je zimethibitishwa na Mamlaka husika?
Ndugu zangu habari..
Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa.
Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi kuambiwa hamna utu na wake zenu njoeni hapa tupeane mbinu wakuu
Nipo katika mchakato wa kutuma maombi funded scholarship za ujerumani DAAD masters in international health.
Hivi mwajiri anaweza kutoa cheti cha utumishi wakati bado unafanya kazi na vilevile Recommendations Letter hasa kwa private?
Humu ferooz kalia sana kwa Boss
Juma nature ndio kama yule mwanao kabisa wa damu ana hasira mbaya na boss kwa uhuni aliokufanyia.
Alafu mchizi solo thang ana poza hasira kwa mwanae ferooz asichukue maamuzi magumu maana mwana ana ahasira na Boss ila unyonge wa kuhofia ajira una mhold back.
Ila...
Nilienda Mtwara around January nikakaa kama wiki moja hivi. Nimenogewa nataka likizo yangu ya mwezi wa sita niitumie Mtwara.
Mliowahi kuwa Mtwara ndani ya likizo ya mwezi wa sita nipeni uzoefu tafadhali. Vibe lake huwa linakuwaje kuwaje mtaani?
Jinsia pendwa wa Mtwara chukueni maua yenu. Yani...
Wakuu,
Kama unashawai kuugua ugonjwa wa meningitis au ndugu yako naomba ushare experience!
Nina hizi dalili sasa kwa muda
1. Kichwa kuwaka moto/kuuma muda wote
2. Joto kali kichwani Fever
3. Kuumwa mgongo
4. Nimetoka rashez mkononi
Je si dalili hizi?
Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine
Nisiwe msemaji sana, kuna ile situation ya baadhi ya wanaume kutongozwa na watoto wa kike. Kusema kweli...
Hello,
Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii.
Wakuu nipeni tips, ikitokea...
Kuna girl mmoja wa kizungu hapa, foreigner hajui hata Kiswahili, naona anaingia kwenye 18 zangu.
Naombeni tips wakuu, vitu gani zaidi niepukane navyo ili nimnase mazima huyu mrembo.
Natanguliza shukrani.
Mliowahi weka fedha zenu kwenye akaunti ya muda maalumu Ninaomba ushauri wenu!
Riba ikoje,kwa kiwango gani na kwa muda gani?Benki ipi ni nzuri!
Naomba ufafanuzi hasa kwenu nyie ambao mlishatumia akaunti hiyo!
Nilijaribu kupita benki kadhaa nilichogundua kila benki inavutia kwake!
Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu.
Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila kikiisha naweka mpira kwapani maana ni ngumu kurudi kipindi cha pili.
Mechi ya Kwanza naipania Sana...
Guys nahitaji kuagiza spare parts Dubai bila kwenda Dubai.
Kama kuna mtu anaweza kunipa muongozo.
Kwa Dubai.,
1. Wapi mnanunua spareparts hasa kwa gari za Kijerumani?
2. Mnatumia kampuni zipi za usafiri kwa njia ya maji na anga?
Pia kwa Upande wa Kenya, Mnanunua spare parts wapi, na...
Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe!
Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.