Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala! Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni, shingoni, mapajani, kifuani au mgongoni!! Husababishwa na ninini?
Maana inawasha balaa! Naombeni majibu muafaka! Nimeweka picha!!
Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa condom.
Yaani ukanunue pipi halafu uanze kumung'unya ikiwa kwenye karatasi? Aaaah wapi..... Hawakuelewi...
Kampuni ya nishati ya jua ya Zola walinifungia mtambo wao, lakini ajabu tofauti na makubaliano mtambo huu uligoma kuniwashia TV, na pia umeshindwa hadi kunichajia simu!
Nimejaribu kuwasiliana na Zola wamekuwa wananiahidi uongo. Mara tutashughulikia lakini hadi leo miezi zaidi ya kumi imepita...
Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa...
Nimestaafu mwezi uliopita
Nasubiri kiinua mgongo changu kama milioni kadhaa.
Napenda sana mpira nikiangalua EPL napata wazimu.
Natamani nikaishi England nifie huko
Kinachonishangaza kuna uzi wa magari ulikuja humu jamaa anauliza kwa nini waingereza hawanunui magari ya landrover na range,kuna...
Habari wakuu. Poleni na majukumu.
Ni mara ya tatu Naagiza bidhaa mbalimbali kutoka ebay kupitia kampuni ya myus. Mara mbili nimepokea bidhaa nilizoagiza bila changamoto yeyote. Mara hii ya tatu bidhaa inaonekana imefika dar es salaam na inaleta meseji ya Clearance delay- import.
Clearance...
Harakati za hela ya umeme nyumba za kupanga zenye kushare Luku.
Few years ago, nilipanga chumba, wapangaji tulikua wawili na mtoto wa mwenye nyumba, kwakua mtoto wa mwenye nyumba alikua anatatizo la akili, tulimtoa katika kuchangia umeme, pia hakua na matumizi makubwa.
Mwanzoni mambo yakawa...
Mambo vp wadau
Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa kulalamika kwa mambo madogo madogo na kulia lia tu kwa vitu vya kawaida.
Kwa kweli kama mwanaume sio...
Wengi (sio wote)
Kunakuwaga na zile stori kwamba ukifanya kazi kwa mzungu umelamba dume, kuanzia maslahi yaani Mshahara na posho utapata kwa wakati tena kwa kiwango kizuri, utahehimiwa utu wako n.k.
Ila sasa ukiwa mvivu, inachelewa kazini, kutoka toka muda wa kazi, kunaongea sana kuliko kazi...
Habari za weekend.....
Wauzaji wa bidhaa za forever living, kwanza hongereni kwa kufanya hiyo biashara inayohitaji kipaji cha hali ya juu kuweza kuongea sana na kumshawishi mteja, ni kipaji kwakweli.
Back to topic, mmekua mnatumia mbinu za uongo na kulazimisha sana mteja ili mtangaze...
Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k.
Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi)
Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
Huu ni uzi wangu wa pili kuhusu kulipwa fidia, hii ni kwa sababu watu wengi kila siku wanapata ajari na wakifatilia fidia wanaishia kati kutokana na hatua nyingi au wengine kupotezea kutokana hawajui waazie wapi.
Mi ya kwangu ni hivi nilipata ajar mwezi wa kumi, sasa kuna ndugu yangu anafatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.