Nimeukuta mkoani Kigoma. Wenyeji wanasema matunda yake ni matamu na yanaliwa.
Huenda ni dragon fruits ya Kiafrika?
Inasemekana, dragon fruits ni kati ya matunda ghali sana Afrika Mashariki! Ninataka nikaipande shambani kwangu.
Kuna mtu anayefahamu kama yana soko?
Kama yana soko, nitaipanda...