mmiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kwanini Mmiliki wa Samaki Samaki kapewa Kuwekeza Coco Beach sasa ila Kipindi cha Hayati Magufuli hakupewa?

    Hilo eneo (Coco Beach) Hayati Magufuli alikataa kabisa kupewa Watu (hasa Matajiri) wawekeze hapo akisema kuwa paachwe wazi ili hata Masikini akina GENTAMYCINE tuwe tunakuja Kutembea, Kuogelea na Kupunga Upepo mwanana wa Baharini (wenye Afya) bila tatizo. Cha Kushangaza na Kusikitisha tayari...
  2. Lady Whistledown

    TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

    Mmiliki wa Shirika la Ndege Nchini Tanzania la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima, ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AgaKhan, Jijini Dar es Salaam =========== Mfahamu zaidi Michael Ngaleku Shirima Michael Ngaleku Shirima CEO wa Shirika la Ndege za Precision Air...
  3. BARD AI

    Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

    Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango...
  4. MGODOLO

    Wewe dereva au mmiliki, huwezi kupata LATRA ya gari yako kama dereva wako hajajisajili LATRA

    1. HALI IKOJE MKOANI KWAKO Ndugu Madereva au Mmiliki? Nataka kuuliza kuhusu mfumo huu, katika mikoa yenu ukoje, Kanda ya kaskazini, Gari yeyote ya biashara ambayo Dereva husika mwenye Leseni Daraja C1, C2, C3, C, na E. Latra itakapoisha Muda wake katika gari hio, Mmiliki wa chombo hicho hawezi...
  5. The Assassin

    Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai

    Bwana Steve Ndaula ni kijana mdogo ambae alianzisha kampuni ya upatu/pyramid scheme ya Bestways Capital Management ambayo imewatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 na kisha akakimbilia Dubai. Steve alisoma chuo cha IMTU fani ya Udaktari kuanzia mwaka 2012 hadi 2017. Mwaka 2016, mwaka mmoja...
  6. GENTAMYCINE

    Ni dalili gani za haraka za Kumjua anayeendesha Gari ni Dereva tu (si lake) na Mmiliki halisi wa Gari?

    Kuna Mtu nimepishana nae akiwa katika Harrier matata sana huku akiwa na Mikogo yote (kama ya Watani zangu Wakubwa Wahaya) cha Kushangaza baada ya Nusu Saa nimekutana nae Ubungo anapakia Magunia ya Pumba za Kuku huku akiwa Kavua Shati kutokana na Joto Kali la Dar es Salaam sasa (ambalo TMA...
  7. FRANCIS DA DON

    Mfahamu kiundani mmiliki wa Tanzania

    Huyo hapo chini, hii ni kwa mujibu wa Google, ambapo niliwauliza , ‘ Who is the owner of Tanzania?’
  8. Dr Matola PhD

    Ni nani mmiliki wa viwanja vya Gymkhana Dar es salaam? Ufisadi wa kutisha unaandaliwa

    Swali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es Salaam? Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjua mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile. Updates: Well, kinachoendelea sasa ni kuiua Gymkhana kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mbinu inayotumika ni tozo ya kutumia facility kwa...
  9. Sky Eclat

    Tim Martins mmiliki wa pub za Weatherspoon ni mmoja wa walipa kodi wakubwa nchi Uingereza

    Tim hakua na uwezo mkubwa wa masomo darasani, kuna mtu alinisimulia kuwa jina la Weartherspoon lilikua jina la mwalimu wake aliyemtakia kwa hasira “Tim you’re good for nothing, you can not write essays nor manage solving mathematics questions “. Baada ya kuachana na masomo Ali hustle na pub...
  10. Erythrocyte

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akutana na Rais Samia Ikulu leo Desemba 31, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana mara baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa...
  11. T

    DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

    Kampuni ya Ulinzi (HOMASA SECURITY) inapata bahati ya kuingia mkataba na Bilionea ANDRON MENDES Mkataba huu unahusisha kumlinda Bilionea huyu nyumbani kwake na Pia kulinda kwenye ofisi ilipo kampuni yake ya KOPA GAS huko maeneo ya Skanska Tegeta karibu na IPTL. Bilionea huyu wa kitanzania...
  12. BARD AI

    Hong Kong: Mmiliki wa Vyombo vya Habari vinavyotetea Demokrasia afungwa miaka 5

    Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Jimmy Lai, ambaye alikamatwa kwenye maandamano ya kushinikiza Serikali ifuate Utawala wa Demokrasi mwaka 2019 pia alipigwa faini ya Tsh. Milioni 599.7 Mahakama imemkuta na hatia ya Ulaghai Mwanademokrasia huyo anaodaiwa kuufanya mwaka 2016 na 2020 kupitia moja ya...
  13. comte

    Je mitandao ya kijamii imehongwa na mmiliki wa ndege iliyopata ajali?

    Sijaona kokote mmliki wa ndege iliyopata ajali akisemwa na kutakiwa kuwajibika- ANA MIFUKO MIKUBWA KIASI GANI MPAKA KAHONGA KILA MTU KILA MAHALI
  14. sinza pazuri

    Nani mmiliki wa Mjini FM?

    Ni redio mpya mjini ila ina balaa zito. Anaejua atujuze redio hii ya kijanja iliyokuja kwa kasi inamilikiwa na nani?
  15. BARD AI

    Elon Musk ataka mmiliki wa Twitter kumtetea Mahakamani

    Elon Musk amechukua hatua za kisheria kumwita mwanzilishi mwenza wa Twitter, Jack Dorsey kufika Mahakamani akiwa kama mtetezi wake kuhusu kusitisha malipo ya zaidi ya Tsh. Trilioni 102 ili kuinunua Twitter. Mawakili wa Musk walimpigia simu bosi wa zamani wa Twitter Jack Dorsey ambaye anatajwa...
  16. NostradamusEstrademe

    Zambia: Azirai baada ya kugundua mkewe ni mmiliki wa nyumba waliyopanga

    Mwanaume mmoja raia wa Zambia aliyetambulika kwa jina la Martin Stampa, anadaiwa kuanguka na kuzirai baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye “mwenye nyumba” wake. Kulingana na taarifa za mitandao ya kijamii nchini humo, imesema, Stampa (37), aliishi katika nyumba hiyo kwa miaka 15, na alikuwa...
  17. N

    Mmiliki wa M-bet ni nani?

    Kuna jamaa anaenezeza uvumi kuwa mmiliki wa kampuni ya M-bet ni Mtanzania, kwanza nimwambie tu mtaji wa kuanzisha kampuni ya kubeti sio wakitoto ambao watanzania wanaweza kumudu. Sembuse Mtanzania amiliki kampuni ya beti inayofanya kazi Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia, na Kongo? Au anachukulia...
  18. Khadija Mtalame

    Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

    Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri, HABARI WADAU; kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi, Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa...
  19. A

    Tenda ya kuingiza mafuta nchini yadaiwa kutolewa kwa 'uswahiba', mmiliki wa Super Markets za TSN atajwa

    Wadau habari zenu? Poleni na majukumu ya siku. Zipo habari kwamba, tenda ya kuingiza mafuta nchini ambayo wamepewa baadhi ya wafanyabiashara wachache nchini ambao wana uswahiba na kigogo wa wizara hiyo. Kwa mujibu wa mtoa habari mmoja wa ndani ya wizara hiyo, kigogo huyo amewapa tenda...
  20. Expensive life

    Mmiliki wa Serval wildlife ni nani?

    Habari zenu wakuu. Naomba kujwa wa mmiliki wa serval wildlife ni serikali au mwekezaji, maana naona gharama zake ni kubwa sana kwenda kutembelea hiki kivutio.
Back
Top Bottom