Wakuu habari ya Jioni.
.
Kuna pahala nimesoma na kuona picha mbalimbali kwamba Stendi ya dala² Mafiga Morogoro Imebadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada utakaokuwa unachomwa mbuzi na Watu Kupata Kinywaji.
.
Nimesoma na Kuona Dc Msando akiwakaribisha Kesho wananchi wa Moro kufika Kwa Ajili ya...
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee.
Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu.
Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa njia ya mnada wa hadhara inaweza kutokana na sababu za kibinadamu au sababu ambazo zipo nje kabisa...
Salaam Wakuu,
Kamishna wa Sensa Kitaifa Bi. Anne Makinda ambaye alitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa takribani miaka arobaini, akianza kama Waziri wa Shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Naibu Spika na hatimaye Spika wa Bunge, Nyumba zake zinapigwa Mnada.
Nyumba...
Napongeza kauli ya Mh. Spika, imetoka sehemu nyeti sana na kwa mtu asiyetegemewa kusema aliyoyasema, lakini ameyasema mimi kwangu ni ushujaa na upendo kama yamesemwa katika jicho pana la tahadhari ambayo katika nafasi anajua na kuyaona zaidi kuliko sisi wapiga zumari.
Kwa kifupi zimesemwa na...
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi...
Tuchukulie kampuni ya McHugh & Co ya London UK wamepewa deal na Bunge la Tanzania waiuze Tanzania yote.......wauze mkoa kwa mkoa hadi nchi yote iishe.
Je wewe kama una hela ungenunua mkoa upi?
Nipo Afrika Kusini Kwa mapumziko ya uzee ila pia kuangalia Dunia inavyoendeshwa Katika maeneo mbalimbali ya Dunia. Hapa Afrika Kusini limetoka tamko la kuzuia kuuzwa Kwa funguo za chmba alichokuwa anaishi Mzee Mandela gerezani. Funguo hiyo imepangwa kupigwa mnada na wazungu huko ulaya Tarehe...
Wala nisiwafiche baada ya kuona Watu wa Yanga SC ( tena kutokea GSM ) ambao KEROZENE siwapendi na nawachukia ndiyo wamepewa Kipaumbele kwa Maandalizi ya Taifa Stars nimeuza Siri zote za Kambi ya Taifa Stars na Alhamisi Tanzania ikishinda ni Sare ila Kufungwa ni kama Israeli na Roho ya Binadamu...
Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum.
Kumezoeleka katika nchi...
Mali za Impala na Naura Spring Hotel mkoani Arusha zitauzwa ili kulipa madeni zaidi ya TZS 1.2B ya wafanyakazi.
Mchanganuo:
Wafanyakazi wa Naura- 68
Deni- TZS milioni 180
Wafanyakazi wa Impala- 165
Deni- TZS milioni 787.5
Fedha nyingine zitalipwa mifuko ya hifadhi ya jamii.
Shule ya St Jude itakuwa na mnada wa kimya kwa ajili ya kuuza vitu zaidi ya 6,000, vipya na vilivyotumika! Hii si ya kukosa.
Tarehe: Ijumaa Septemba 17
Muda wa kuangalia: Saa 4 hadi 4:30 asubuhi
Muda wa mnada: Saa 4:30 hadi 5:30 asubuhi
Mahali: Shule ya St Jude, Kampasi ya Sisia, Moshono...
Wakuu tukutane Kibamba chama kuna mnada wa nyama ya Mbuzi na Kondoo [emoji238][emoji231][emoji207][emoji238][emoji238]
Ntawapa Updates.
Tokeni na Familia zenu[emoji1285][emoji1293][emoji2026][emoji2025][emoji2022][emoji2034]
financial services haya toka na mdau wako
Mshana Jr achana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.