mnada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stendi Iliojengwa Kwa Fedha za Umma unapobadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada wa Kuchoma Mbuzi.

    Wakuu habari ya Jioni. . Kuna pahala nimesoma na kuona picha mbalimbali kwamba Stendi ya dala² Mafiga Morogoro Imebadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada utakaokuwa unachomwa mbuzi na Watu Kupata Kinywaji. . Nimesoma na Kuona Dc Msando akiwakaribisha Kesho wananchi wa Moro kufika Kwa Ajili ya...
  2. Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

    Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
  3. Mbinu tano (5) halali za kuchelewesha mnada wa hadhara wa nyumba yako uliyoombea mkopo

    Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa njia ya mnada wa hadhara inaweza kutokana na sababu za kibinadamu au sababu ambazo zipo nje kabisa...
  4. Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

    Salaam Wakuu, Kamishna wa Sensa Kitaifa Bi. Anne Makinda ambaye alitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa takribani miaka arobaini, akianza kama Waziri wa Shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Naibu Spika na hatimaye Spika wa Bunge, Nyumba zake zinapigwa Mnada. Nyumba...
  5. H

    Ahsante Ndugai, tutakuelewa baadae baada ya mnada

    Napongeza kauli ya Mh. Spika, imetoka sehemu nyeti sana na kwa mtu asiyetegemewa kusema aliyoyasema, lakini ameyasema mimi kwangu ni ushujaa na upendo kama yamesemwa katika jicho pana la tahadhari ambayo katika nafasi anajua na kuyaona zaidi kuliko sisi wapiga zumari. Kwa kifupi zimesemwa na...
  6. Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

    Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi...
  7. Je utanunua Mkoa gani iwapo Tanzania itauzwa kwa Mnada?

    Tuchukulie kampuni ya McHugh & Co ya London UK wamepewa deal na Bunge la Tanzania waiuze Tanzania yote.......wauze mkoa kwa mkoa hadi nchi yote iishe. Je wewe kama una hela ungenunua mkoa upi?
  8. B

    Waliomuweka Mandela jela wanataka kupiga mnada ufunguo wa jela wamjengee makumbusho; waliomuweka jela Mbowe walianza kuchukua fedha na mali zake

    Nipo Afrika Kusini Kwa mapumziko ya uzee ila pia kuangalia Dunia inavyoendeshwa Katika maeneo mbalimbali ya Dunia. Hapa Afrika Kusini limetoka tamko la kuzuia kuuzwa Kwa funguo za chmba alichokuwa anaishi Mzee Mandela gerezani. Funguo hiyo imepangwa kupigwa mnada na wazungu huko ulaya Tarehe...
  9. O

    Mnada wa mbuzi bagamoyo.

    Naomba anayejua mnada was mbuzi maeneo ya bagamoyo anijulishe unakuwa siku gani. Naomba sana msaada wenu.
  10. M

    Watanzania tusiopenda Unafiki na Ng'ombe Kunenepeshwa Siku ya Mnada na kutaka Congo DR na Madagascar watufunge tujuane tafadhali

    Wala nisiwafiche baada ya kuona Watu wa Yanga SC ( tena kutokea GSM ) ambao KEROZENE siwapendi na nawachukia ndiyo wamepewa Kipaumbele kwa Maandalizi ya Taifa Stars nimeuza Siri zote za Kambi ya Taifa Stars na Alhamisi Tanzania ikishinda ni Sare ila Kufungwa ni kama Israeli na Roho ya Binadamu...
  11. M

    Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum. Kumezoeleka katika nchi...
  12. D

    Mali za Mrema wa Naura Springs na Impala kupigwa bei kulipa madeni ya wafanyakazi na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Mali za Impala na Naura Spring Hotel mkoani Arusha zitauzwa ili kulipa madeni zaidi ya TZS 1.2B ya wafanyakazi. Mchanganuo: Wafanyakazi wa Naura- 68 Deni- TZS milioni 180 Wafanyakazi wa Impala- 165 Deni- TZS milioni 787.5 Fedha nyingine zitalipwa mifuko ya hifadhi ya jamii.
  13. T

    Mnada wa kimya wa vitu vipya na vilivyotumika katika Shule ya St Jude

    Shule ya St Jude itakuwa na mnada wa kimya kwa ajili ya kuuza vitu zaidi ya 6,000, vipya na vilivyotumika! Hii si ya kukosa. Tarehe: Ijumaa Septemba 17 Muda wa kuangalia: Saa 4 hadi 4:30 asubuhi Muda wa mnada: Saa 4:30 hadi 5:30 asubuhi Mahali: Shule ya St Jude, Kampasi ya Sisia, Moshono...
  14. Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama

    Wakuu tukutane Kibamba chama kuna mnada wa nyama ya Mbuzi na Kondoo [emoji238][emoji231][emoji207][emoji238][emoji238] Ntawapa Updates. Tokeni na Familia zenu[emoji1285][emoji1293][emoji2026][emoji2025][emoji2022][emoji2034] financial services haya toka na mdau wako Mshana Jr achana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…